Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

kupaka mkongo, ili ugundue nini, unawekeza kwenye vitu vya kipumbavu, shukuru vile Mungu kakuumba endelea kuishi na kutimiza jukumu uliloitiwa duniani.

Waafrika wengi wetu hatujui purpose ya kuwepo duniani, tupo tu..ndio maana tunafanya mambo yasiyo na tija.
We nae umeanza vizuri ila mbele umeyakanyaga...sasa kupaka mkongo inahitaji uwekezaji gani??
Bora hata sisi na mkongo kuliko wazungu wanaotengeneza na Kutumia Viagra za viwandani kabisa.
 
Bi Ubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti piganeni
Uwanja ulee mweupe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Humo kwenye mfuko umebeba Nini?
Anajibu eti nywele zako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]bi ubwaa!!

Nimecheka huyo mzee milanzi anamwimbia mkewe eti asiyejua kusoma nimjinga kabisa barua ikija huitembeza kutwa[emoji2][emoji2]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]bi ubwaa!!

Nimecheka huyo mzee milanzi anamwimbia mkewe eti asiyejua kusoma nimjinga kabisa barua ikija huitembeza kutwa[emoji2][emoji2]
Ya leo hiyo🤣🤣🤣🤣
Umeona Ombeni anavyoingia chooni😂😂😂
Bi Ubwa😂😂😂😂😂🙌
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom