Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

Umeona zahanati leo?
Milanzi anamwambia Mayasa
Wewe una shape gani?
Namba Moja haupo, nane haupo, Tisa haupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aghrr ndo hapohapo bongo movie wanapofeli unakuta stori inaanza vizuri mwishoni sasa utopolo
Fundi ni hovyo sana aisee
Natamani hata waitoe.

Ila nahisi inaishia wiki hii.
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Siyo peke yako dyaa me mwenyewe nikasema mbona Kama siielewi sahivi hii fundi yaani sijui wanakwama(ga) wapi
Kumbe tupo wawili 😂😂😂
Natamani waitoe tu aisee
Hakuna wanachofanya sasahivi
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Eti naenda kwa mpenzi wangu Bi Ubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],eti naomba unaizalie mtoto,
sasa we bwana mi mtoto namtoa wapi wakati sina kizazi
Ina maana mi nitakufa mgumba [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],eti naomba unaizalie mtoto,
sasa we bwana mi mtoto namtoa wapi wakati sina kizazi
Ina maana mi nitakufa mgumba [emoji1787][emoji1787]
Juzijuzi anamwambia umeniuliwa wanangu wewe nakufa mgumba🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom