Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

aliyesema fainali ya kila jambo huwa ni uzeeni anastahili tuzo... 😀 😀
 
Zahanati
Bi Star anamwambia kimbembe
Naona una sura ya uwaziri mwanangu
Kama siyo uwaziri basi ukuu wa mkoa hukosi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaiona jamani ni leo au
 
Hii mada ya wadada.... Wanaume tunacomment wapi[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]
 
Ndiyo
Sauti ya Rachel hii
Kaimba vizuri sanaa
Leo nimeangalia zahanat nimecheka sana Bi ubwa anachekesha halaf mbea jamani anawaambiwa Gati na yule whitemaria kuwa kumbe mauja ni mgonjwa anatumia ARV anataka kumuua Ombeni 😂😂
 
Back
Top Bottom