Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

Sule na prisca ile combo wamekutana wote vichwa hamna[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

We nenda katafute hela kila sikz tunakula miguu ya kuku kweli na penyewe ndio unasema tumekula
Basi kagundua ana pesa milion 70 kabadilika anamhandle eti mume wangu jamani mpenz
Sule anamuuliza prisca unaumwa?
 
Ahahahhaahah yaani prisca na pesa uwii akili zinamhama..

Akaenda mwenyewe kuchagua na mawigi ya milioni huko aisee[emoji2] sule kazi anayo

Na wale mafundi wake wawili wanachekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na ule ushotii

Bi ubwa hajali wala nini, ye anajiropokea tu,aisee alivyotumbukia kwenye shimo nilicheka mpaka machozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hajadumbukia kwenye shimo ndo alinichekesha
Alivyokuwa anacheza huku anaimba

Ooh eti hana kiuno,,anakata kiuno
Ooh tumbo sjui nini
Eti amelifuga hadi limefika pale[emoji1787]

Kesho yake sasa yule mtoto kamkojolea
Anasema utakoma,nakuja hukohuko kwa mama yako.

Eti watu wa Mwembetogwa wabaya jamani hawanipendi,
Mimi si nililala ndani jamani[emoji38][emoji23][emoji119]
 
Hivi ndo huyu alicheza na mzee small?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah maisha yanaenda kasi,nilikuwa nishaanza msahau mzee small.

Huyo mzee anachekesha[emoji23]
Kwenye beki tatu ndio alikuwa ananichekesha zaidi,Ebitoke alikuwa anamwita mjomba kulwa,anasema sema Anko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa kweli huu mchezo wa kosa moja sijui hata ulipitaje Azam wakauweka.
Yule dada amepangiwa character hata haendani nayo.
Msanii gani anaongea kama anataka kufanya maombi ya kuabudu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

  • 6EE12094-DA78-4E36-8814-5A8F4B8865D0.jpeg
    6EE12094-DA78-4E36-8814-5A8F4B8865D0.jpeg
    274.4 KB · Views: 3
Kabla hajadumbukia kwenye shimo ndo alinichekesha
Alivyokuwa anacheza huku anaimba

Ooh eti hana kiuno,,anakata kiuno
Ooh tumbo sjui nini
Eti amelifuga hadi limefika pale[emoji1787]

Kesho yake sasa yule mtoto kamkojolea
Anasema utakoma,nakuja hukohuko kwa mama yako.

Eti watu wa Mwembetogwa wabaya jamani hawanipendi,
Mimi si nililala ndani jamani[emoji38][emoji23][emoji119]
[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom