ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
[emoji3][emoji3][emoji3]hata kuimba hajui..Main character wao walimkosea
Hapendezei ile nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]hata kuimba hajui..Main character wao walimkosea
Hapendezei ile nafasi
Me alinichekesha kwenye hii zahanati ya Kijiji eti anamuimbia huyo mkewe "sina muda huo sinaa kukaa kibarazani kumsimanga mtu"[emoji38]Yeah Gigy angefaa
Wangeweka mtu anayejiweza ,mcharuko,mwenye kashkash hivi
Huyu dada waliyemuweka kwa kweli ameharibu mchezo mzima
Uwezo wake hauendani na hii character.
Hata kwenye moyo,alibebwa sana na Characters wengine.
Haiwezekani mwanasheria hata mara moja hajastate kifungu chochote cha act..aisee shule pia ni muhimu kwa hawa waigizaji wetu.
Anko kulwa kwenye beki tatu yaani ilikuwa ni[emoji23][emoji91][emoji119]
Me naona(ga)za kijasusi apewe mama Mona na ule msauti wake[emoji108]Fungu langu
Huyu mama Hidaya,kama kawaida ni jasusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji119]
Huyu mama ni boonge la muigizaji
Hakuna character aliyowahi kupwaya
Kwenye hatia alikimbiza sanaView attachment 2528725
Me alinichekesha kwenye hii zahanati ya Kijiji eti anamuimbia huyo mkewe "sina muda huo sinaa kukaa kibarazani kumsimanga mtu"[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
DahMe naona(ga)za kijasusi apewe mama Mona na ule msauti wake[emoji108]
Huyu awe anaigiza za kistaarabu hivi (kutokana na sauti yake ilivyo)
Halafu Kuna yule Grace mapunda yule scene za ucharuko, kuchamba zinampendeza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]hapo sasa miyeyusho tu[emoji23][emoji23][emoji23] hata matamasha hatuoni wakifanya
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nimecheka sana anajiona yule mzee
Et kuwa Nawe ni hisani tu
Aghh niliona jimmy anajisifia sana nikaacha kuangalia[emoji57][emoji57]utadhani wenzie hawajui kutungaDah
Uliangalia Hatia?
Huyu mama ni boonge la jasusi na alikuwa anachekesha anavyomchamba Pamela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anko Kulwa[emoji23][emoji119]Nimecheka sana anajiona yule mzee
Et kuwa Nawe ni hisani tu
AseeAghh niliona jimmy anajisifia sana nikaacha kuangalia[emoji57][emoji57]utadhani wenzie hawajui kutunga
Ila Hidaya ana sauti nzuri kwakweli na sura
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me alinichekesha kwenye hii zahanati ya Kijiji eti anamuimbia huyo mkewe "sina muda huo sinaa kukaa kibarazani kumsimanga mtu"[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuigiza character waliyompa hawezi
Asee
Yaani hatia ni bonge la mchezo
Japo alikuwa anajisifia ila kusema kweli amefanya vizuri sana mule.
Na niliipenda style yake,hakuweka main character mmoja..kwahiyo ilikuwa haiboi.
Wakirusha marudio hebu jaribu kuangalia.
Huyu mama Hidaya amecheza vizuri sana,akifuatiwa na Bi Star ambaye alivaa character ya upole.
Yule baba naye anajitahidi [emoji23]Mbona mme wa hidaya hamsemi yule baba anajua kuigizaa
Vipi fundi sule na prisca wakianzaga gombana [emoji23][emoji23][emoji23]
Anasema yaani ni hisani tu[emoji38]Tumbo sasa na anavyoringaa[emoji23][emoji23]
Imenikumbusha fundi[emoji1787]Mbona mme wa hidaya hamsemi yule baba anajua kuigizaa
Vipi fundi sule na prisca wakianzaga gombana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3]siyo kwa kuisifia huko inabidi niifuatilie Kama watairudiaAsee
Yaani hatia ni bonge la mchezo
Japo alikuwa anajisifia ila kusema kweli amefanya vizuri sana mule.
Na niliipenda style yake,hakuweka main character mmoja..kwahiyo ilikuwa haiboi.
Wakirusha marudio hebu jaribu kuangalia.
Huyu mama Hidaya amecheza vizuri sana,akifuatiwa na Bi Star ambaye alivaa character ya upole.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na ule ushotii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko Kulwa anachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli kwenye zahanati anayenichekesha ni Bi Ubwa.