Hivi ndo huyu alicheza na mzee small?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah maisha yanaenda kasi,nilikuwa nishaanza msahau mzee small.
Huyo mzee anachekesha[emoji23]
Kwenye beki tatu ndio alikuwa ananichekesha zaidi,Ebitoke alikuwa anamwita mjomba kulwa,anasema sema Anko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli huu mchezo wa kosa moja sijui hata ulipitaje Azam wakauweka.
Yule dada amepangiwa character hata haendani nayo.
Msanii gani anaongea kama anataka kufanya maombi ya kuabudu.