Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

Yeah Gigy angefaa
Wangeweka mtu anayejiweza ,mcharuko,mwenye kashkash hivi
Huyu dada waliyemuweka kwa kweli ameharibu mchezo mzima
Uwezo wake hauendani na hii character.

Hata kwenye moyo,alibebwa sana na Characters wengine.
Haiwezekani mwanasheria hata mara moja hajastate kifungu chochote cha act..aisee shule pia ni muhimu kwa hawa waigizaji wetu.

Anko kulwa kwenye beki tatu yaani ilikuwa ni[emoji23][emoji91][emoji119]
Me alinichekesha kwenye hii zahanati ya Kijiji eti anamuimbia huyo mkewe "sina muda huo sinaa kukaa kibarazani kumsimanga mtu"[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungu langu
Huyu mama Hidaya,kama kawaida ni jasusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji119]
Huyu mama ni boonge la muigizaji
Hakuna character aliyowahi kupwaya

Kwenye hatia alikimbiza sanaView attachment 2528725
Me naona(ga)za kijasusi apewe mama Mona na ule msauti wake[emoji108]

Huyu awe anaigiza za kistaarabu hivi (kutokana na sauti yake ilivyo)

Halafu Kuna yule Grace mapunda yule scene za ucharuko, kuchamba zinampendeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me naona(ga)za kijasusi apewe mama Mona na ule msauti wake[emoji108]

Huyu awe anaigiza za kistaarabu hivi (kutokana na sauti yake ilivyo)

Halafu Kuna yule Grace mapunda yule scene za ucharuko, kuchamba zinampendeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah
Uliangalia Hatia?
Huyu mama ni boonge la jasusi na alikuwa anachekesha anavyomchamba Pamela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: ABJ

Aghh niliona jimmy anajisifia sana nikaacha kuangalia[emoji57][emoji57]utadhani wenzie hawajui kutunga

Ila Hidaya ana sauti nzuri kwakweli na sura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aghh niliona jimmy anajisifia sana nikaacha kuangalia[emoji57][emoji57]utadhani wenzie hawajui kutunga

Ila Hidaya ana sauti nzuri kwakweli na sura

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee
Yaani hatia ni bonge la mchezo

Japo alikuwa anajisifia ila kusema kweli amefanya vizuri sana mule.
Na niliipenda style yake,hakuweka main character mmoja..kwahiyo ilikuwa haiboi.

Wakirusha marudio hebu jaribu kuangalia.

Huyu mama Hidaya amecheza vizuri sana,akifuatiwa na Bi Star ambaye alivaa character ya upole.
 
Me alinichekesha kwenye hii zahanati ya Kijiji eti anamuimbia huyo mkewe "sina muda huo sinaa kukaa kibarazani kumsimanga mtu"[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko Kulwa anachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kweli kwenye zahanati anayenichekesha ni Bi Ubwa.
 
Asee
Yaani hatia ni bonge la mchezo

Japo alikuwa anajisifia ila kusema kweli amefanya vizuri sana mule.
Na niliipenda style yake,hakuweka main character mmoja..kwahiyo ilikuwa haiboi.

Wakirusha marudio hebu jaribu kuangalia.

Huyu mama Hidaya amecheza vizuri sana,akifuatiwa na Bi Star ambaye alivaa character ya upole.

Mbona mme wa hidaya hamsemi yule baba anajua kuigizaa

Vipi fundi sule na prisca wakianzaga gombana 😂😂😂
 
Mbona mme wa hidaya hamsemi yule baba anajua kuigizaa

Vipi fundi sule na prisca wakianzaga gombana [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule baba naye anajitahidi [emoji23]
Na wanapendezana.

Prisca[emoji23][emoji119]
Yaani shamsa hadi kwenye IG account Yale anachekesha.

Juzi kati amepost amevaa nikabu,ameenda zake karume kuchagua mitumba ya buku
Amepost video anasema nimejiziba ili wasinitambue,
Wakinitambua mbona watanipiga,nguo ya buku waniuzie elfu kumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Mbona mme wa hidaya hamsemi yule baba anajua kuigizaa

Vipi fundi sule na prisca wakianzaga gombana [emoji23][emoji23][emoji23]
Imenikumbusha fundi[emoji1787]
Ile ya juzi fundi Joel alivyokuwa chizi
Anaimba mama Amina mbelee aminamina mbelee
Yaani nilicheka[emoji1787]
 
Asee
Yaani hatia ni bonge la mchezo

Japo alikuwa anajisifia ila kusema kweli amefanya vizuri sana mule.
Na niliipenda style yake,hakuweka main character mmoja..kwahiyo ilikuwa haiboi.

Wakirusha marudio hebu jaribu kuangalia.

Huyu mama Hidaya amecheza vizuri sana,akifuatiwa na Bi Star ambaye alivaa character ya upole.
[emoji3]siyo kwa kuisifia huko inabidi niifuatilie Kama watairudia

Bi star hakoseagi yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko Kulwa anachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kweli kwenye zahanati anayenichekesha ni Bi Ubwa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na ule ushotii

Bi ubwa hajali wala nini, ye anajiropokea tu,aisee alivyotumbukia kwenye shimo nilicheka mpaka machozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom