ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Kapoaa kwakweliHata kuigiza character waliyompa hawezi
Yaani hawezi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapoaa kwakweliHata kuigiza character waliyompa hawezi
Yaani hawezi kabisa.
Sule na prisca ile combo wamekutana wote vichwa hamna[emoji1787][emoji1787]Mbona mme wa hidaya hamsemi yule baba anajua kuigizaa
Vipi fundi sule na prisca wakianzaga gombana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sule na prisca ile combo wamekutana wote vichwa hamna[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya pili km skeleton lenye nyamaKaharibika sana dotnAta
Ahahahhaahah yaani prisca na pesa uwii akili zinamhama..We nenda katafute hela kila sikz tunakula miguu ya kuku kweli na penyewe ndio unasema tumekula
Basi kagundua ana pesa milion 70 kabadilika anamhandle eti mume wangu jamani mpenz
Sule anamuuliza prisca unaumwa?
Wewe ufuatilie utaona[emoji3]siyo kwa kuisifia huko inabidi niifuatilie Kama watairudia
Bi star hakoseagi yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu eti ndo main character [emoji16]
Kabla hajadumbukia kwenye shimo ndo alinichekesha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na ule ushotii
Bi ubwa hajali wala nini, ye anajiropokea tu,aisee alivyotumbukia kwenye shimo nilicheka mpaka machozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhaahah yaani prisca na pesa uwii akili zinamhama..
Akaenda mwenyewe kuchagua na mawigi ya milioni huko aisee[emoji2] sule kazi anayo
Na wale mafundi wake wawili wanachekesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ijumaa had jumapili.Eheee na kosa moja angalau nzuri kiasi yule jay voice ananichekesha sana Ila inaoneshwa jumamos na jumapili
Mtendaji kisa mipaka ya shamba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu yule alikuwa handsome tu
Akalogwa na Mwenyekiti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna yuko vizuri jaman.Mimi siipendi
Unanikera
Huyu dada amepoa kama maji ya mtungi
Haendani na kuwa msanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ndo huyu alicheza na mzee small?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah maisha yanaenda kasi,nilikuwa nishaanza msahau mzee small.
Huyo mzee anachekesha[emoji23]
Kwenye beki tatu ndio alikuwa ananichekesha zaidi,Ebitoke alikuwa anamwita mjomba kulwa,anasema sema Anko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli huu mchezo wa kosa moja sijui hata ulipitaje Azam wakauweka.
Yule dada amepangiwa character hata haendani nayo.
Msanii gani anaongea kama anataka kufanya maombi ya kuabudu.
Ndyooo huyu bibi kwa hii fungu langu, wamekosea kumuweka ktk hii nafasi yaan.Bibi wakati/Kikala safari hii anaigiza wa kishua [emoji23]
Sema haendani na ushua.
Huyu anapendeza akiigiza uswahilini kama kwenye Mama Kimbo,Kombolela na Hatia.
Sema ana maneno huyu mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2528727
Kwa yule mdada kabugi, labda aliangalia suraHalafu eti ndo main character [emoji16]
Sijui walizingatia vigezo gani kumpa
Na director wa huu mchezo sijui ni nani
[emoji38][emoji38][emoji38]Kabla hajadumbukia kwenye shimo ndo alinichekesha
Alivyokuwa anacheza huku anaimba
Ooh eti hana kiuno,,anakata kiuno
Ooh tumbo sjui nini
Eti amelifuga hadi limefika pale[emoji1787]
Kesho yake sasa yule mtoto kamkojolea
Anasema utakoma,nakuja hukohuko kwa mama yako.
Eti watu wa Mwembetogwa wabaya jamani hawanipendi,
Mimi si nililala ndani jamani[emoji38][emoji23][emoji119]
Mzitoo
Umeona eeh??Ndyooo huyu bibi kwa hii fungu langu, wamekosea kumuweka ktk hii nafasi yaan.