Tuache kujichubua

Siku ile nilijua nitapata ban kama zawadi maana kanajikuta ujinga wake ni sawa kusifia humu.
Wengi wana JF wasingekuwa wanafiki na kupambana na hao jamaa kama wewe, ujinga huu ungefutika. Lakini wengi ni wanafiki. Imagine mvulana kama cocastic anasifiwa na wanawake kwa upuuzi wake. Hii si sawa. Angalikuwa ni mtoto wako, ungefurahia akunjwe?
 
Uliyo mtaja hapo hajulikani ni Mme au mke yeye kazi yake Jf ni kusifia Ufilauni basiii huwa nashangaa watu wanao msapoti.
 
Culture Me alipigwa ban. Kwa kawaida huwa napambana naye. Ulinifurahisha ulipompa offer ya kumpa mume wako.
Baada ya kuona nampa ukweli wake akaja na uwongo wake eti nilimfata pm yaani niombe kitu kwake nigombane nae jukwaani kwanza ningeogopa kwa kujua ataniumbua nisingejaribu kutaka vita nae alijua akiandika vile ataniumiza 😁
 
Baada ya kuona nampa ukweli wake akaja na uwongo wake eti nilimfata pm yaani niombe kitu kwake nigombane nae jukwaani kwanza ningeogopa kwa kujua ataniumbua nisingejaribu kutaka vita nae alijua akiandika vile ataniumiza [emoji16]

Ilikuwaje na uzi Upo ?au umefutwa?
 
Baada ya kuona nampa ukweli wake akaja na uwongo wake eti nilimfata pm yaani niombe kitu kwake nigombane nae jukwaani kwanza ningeogopa kwa kujua ataniumbua nisingejaribu kutaka vita nae alijua akiandika vile ataniumiza 😁
Kila mtu mwenye akili alijua huo ni uongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…