Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuh mama tiffah mbna kajiharibu hvyo?? Kuna mtu aliwahi nambia tumbo La zari akivua nguo unamkimbia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushaona kitovu chake kilivyoharibika kwaajil ya surgery ya tumbo
ni wanafiki tu,,,. hayo maneno wansemaga wakiwa hawana hela ngoja wazipate sasaBora uwaambie ukweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafiki sana hawa.
Black is beauty daima na mileleKwakweli acha niendelee kuung’ang’ania ucheusi mangala wangu kama matokeo ndio haya.
Sipendi KE anaejichubua sijui anaewadanganya ni nani, huwa wanakua na rangi kama upinde wa mvua
Kupanga ni kuchagua Ke wabongo kapanga kula bata miaka 10 kisha afeAirport Dar (Julius Nyerere International Airport) kila siku Wachina hushuka na Wake zao lakini huwezipata Ke wa kichina wamefungasha maumbile bandia ya miili wasiwe kimbaumbau kiasilia kuliko Ke wa Bongo wasivyojiamini kwa uzuri wa maumbile yao ya asili hadi kulazimisha kuwa na;
✓ Matako na hispsi feki/bandia tokana na;
* Kupata dawa.
* Kuchoma sindano za kuumua sehemu hizo.
* Kameza vidonge.
* Kafanyiwa plastic surgery.
✓ Wigi (nywele za maiti).
✓ Kajichora chora mitatuu mwilini.
✓ Kajiwekea mipini puani kama ng'ombe.
✓ Kajiwekea mikope bandia.
✓ Kajiwekea mikucha mireeefu hadi ashindwe kujichamba chooni.
✓ Kapakaa rangi nyekundu kwenye lipsi za midomoni kama katoka kunywa damu ya Mtu.
✓ Kavaa skin tights za vigodoro kujaladia hispsi na matako bandia.
MADHARA:
1. Nyeti za miili (K) kuwa na maji mengi, ubaridi.
2. Kansa za kizazi, damu, ngozi n.k.
3. Ke kupoteza hamu ya kujamiiana na mwenzi.
4. Ke kuzeeka na kukongoroka mapema kwa mbabuko wa ngozi na makalio kushuka.
Bongo tunakwama wapi?
Kweli unakutana na KE rangi ya usoni ni tofauti na ya shingo, mikono, miguu na masikio. Yaani ni kitukoSema kweli?
si upo nachuro kama misitu 😂Mbona mm unanipenda
😂
😂😂 hamnasi upo nachuro kama misitu 😂
Ongeza kasi mbona hukuanza mapema 😂😂😂 hamna
Najichubua wewe
Nimeanza last month
Nilichelewa kujua 😂Ongeza kasi mbona hukuanza mapema 😂
Nani amekufundisha?Nilichelewa kujua 😂
Vibaya mnoBlack is beauty daima na milele
Rangi nyeusi inavutia sanaVibaya mno
Mnafaidi sanaRangi nyeusi inavutia sana