Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

View attachment 2526029
View attachment 2526030
Ngozi inaharibika sanaa ukizeeka pia Mbona kuna wabibi wana ngozi nzuri sanaa na wamezeeka tuache kutumia vipodozi vikali

Mwanaume atakupenda tu hata ukiwa wa njano au mwekundu ukiona hajakupenda jua sio wako ,wako yupo tu atapenda rangi yako maana wanawake wengi wanahangaika kujipodoa sababu ya wanaume
Dah mwamba akamfungia maliwato huyu maza[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom