Tuache kulalamikia TISS kwa majukumu yasiowahusu ya kudhibiti ufisadi au kuendesha uchumi wa nchi

Tiss kitengo Cha uchumi kazi yao nini?
 
ISS ZOTE DUNIA
Kati kazi zake nyeti ni hiyo pia
USALAMA WA TAIFA UPO KATIKA NYANJA HIZO
USALAMA WA TAIFA
USALAMA WA KIUCHUMI
USALAMA WA KIAFYA
USALAMA WA KIMWENENDO MAMBO MTAMBUKO[emoji4]


TAARIFA hizo wao hupaswa kuzipat mapema na kumshauri mh.Rais na Rais kupelekaTaarfa kwa watendaji wawez kuzijadili/kujadilian na kufanyia kazi.

NB:- ndio Maana usalama wapo idara zote sio tuu kujua eti Nani anaisema serikali vbaya au anaetak kupindua serikali bali huku chin kunaweza kuwa na Taarfa nyeti wazipate kwa wakat na kuzipeleka sehemu husika kwa maslai ya Taif

Inawezekan Africa mifumo imewakandamiz wanakuw chawa tuu


Hawa hupaswa kuwa watu smart sana ndan ya Taifa na si watu wenye kufanya mambo yenye maslai ya wachache bali Taifa



'Wewe ni mwanaume'... ’kuwa mwanaume’,
From putin[emoji635][emoji1218]


POLEN KWA UANDISH M-BOVU ALAUMIWE WIZAR YA ELIMU [emoji91][emoji4][emoji23]
 
Wewe ndio unapotosha, majukumu ya TISS yameainishwa vizuri kwenye Act yao iliyo katika katiba, hawafanyi kila kitu. Wakuu wa PCCB, CAG na idara ya kupambana na dawa za kulevya sio maofisa wa TISS pia TISS sio mkono wa Rais kufahamu kila kinachoendelea, majukumu ya TISS ni usalama wa nchi na sio kila jambo katika nchi ni suala la usalama wa taifa la kushughulikiwa na TISS. Hiko hivyo kwa mashirika ya kijasusi katika nchi zote duniani za demokrasia halisi au zinazojitambulisha hivyo.
 
Tiss kitengo Cha uchumi kazi yao nini?
Sikijui hiko kitengo ila kama kipo kinaweza au kinatakiwa kuwa kinafanya udhibiti wa kuzuia utakatishaji fedha kutoka makundi ovu kama ya magaidi, kufanya uchambuzi wa ushindani kutoka mataifa jirani na sera za uchumi na biashara ambazo zinaweza kuleta madhara makubwa katika usalama wa nchi.
 
Shida IPO na watu wasio na weledi
 
Kaka pata uwelewa kuhusu mashirika ya kijasusi ,ndio engine ya kuendesha nchi, sio kila jambo linawekwa kwenye sheria! tiss ni serikali ndani ya serikali, wapo kila mahali ,bila Tiss imara nchi inaanguka! Hakuna taasisi,kitengo au idara ambayo hawana mtu wao
 
Unaposema "mtu wao" unamaanisha nini hasa??
Mfanyakazi rasmi wa TISS?
Consultant?
Informer?
Liaison officer?
 
Why uteuzi huu.
1. kbg imo katika kumteua siwa
2. 'Syndicate' kwenye halmashauri/wilaya vyombo havifanyi kazi ipasanyo hadi mfumo una chepushwa
Watendaji kimya tiss haiteki action just inajua tatizo but no solution.
3. Uzoefu mdogo wakajifunze.
4. Je Diwali yuko wapi
TISS IWE NA TISS OLD NA NEW.
C1, C2 & C3
 
''To evaluate information relevant to security''. Hapo nmekuelewa, mambo ya ukwapuaji hayawahusu TISS.
unadhani wale walioba escrow kwenye biroba hawawezi kupindiu nchi na fedha zile!
 
TISS sio General services unity, ingekuwa general kusingekuwa na PCCB, CID, Financial Intelligence Unit ya BoT, Millitary Intelligence n.k
nna mashaka na uelewa wako au unafanya makusudi.
 
Dunia inabadilika
Covid 19
Vita Ukraine 🇺🇦
Brics
So tubadilike. sera za kbg is communist / ujamaa zinashuka.

Watendaji:
1. Sabotage
2. Malezi mabaya ushoga through miradi
3. Mauaji kila mara
4. wanashindwa kutetea Bandari.
 
Ni kutokana na jinsi zinafanya kazi. Kama wanafanya kazi ya uchaguzi, na hadi siasa za chama cha mapinduzi wanaweza kushindwa kudhibiti wizi ma rushwa? Kwanini?

Ni kweli kama ulivyosema sheria haiwapi mamalaka hayo je yale mengine sheria imewapa?
 
Dc, pccb, dso,

Kuna syndicate - share@mhusika anapata
 
TISS inafuata maelekezo ya CCM.

Mnipinge kwa facts

Wanashiriki uratibu wa changuzi za ndani ya chama

Wanashiriki uratibu wa chaguzi za teuzi za wagombea ndani ya chama

Mteule wa kugombea nafasi ya Urais wa JMT hata kabla ya kujaza forms za NEC anaanza kulindwa na TISS/ PSU......


NI kwamba, kama nchi hatuna mwelekeo sahihi. Usipokuwa sawa na CCM basi Tanzania siyo sawa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…