kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Ni kweli, PCCB ifanyiwe mapitio kuiongezea ufanisi.
PCCB na wizi wapi na wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, PCCB ifanyiwe mapitio kuiongezea ufanisi.
Tiss kitengo Cha uchumi kazi yao nini?Sijwahi kuona taifa lingine ambalo wizi/ufisadi wa mali za umma unatokea halafu Idara za ujasusi ndizo zinalaumiwa.
Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security". Kufuatilia rushwa, ufisadi katika ofisi za umma, kuendesha uchumi, kupambana na madawa ya kulevya sio kazi yao. Hayo ni majukumu ya vitengo vingine vingi vilivyoundwa mahususi kwa shughuli hizo.
Wao wanapaswa kuingia tu kwenye uchunguzi wa mambo hayo endapo yanahusisha usalama wa taifa, mfano mtu anauza dawa za kulevya kufadhili ugaidi au mtumishi amepewa rushwa kutoa classified information za nchi. Sio kila ufisadi, au biashara haramu ni jukumu la TISS.
Act yao inasema to obtain, correlate, and evaluate intelligence "relevant" to security.
Tuache kwapa TISS majukumu yasiyowahusu, hii ni slippery slope mbaya sana inatengenezwa kwa kufanya hivi. TISS wanapaswa kufanya kazi zao kulingana na Act yao iliyounda hiyo idara.
Sema walishauri serikali kitu gani kabla ya huo ufisadiTiss kitengo Cha uchumi kazi yao nini?
Wewe ndio unapotosha, majukumu ya TISS yameainishwa vizuri kwenye Act yao iliyo katika katiba, hawafanyi kila kitu. Wakuu wa PCCB, CAG na idara ya kupambana na dawa za kulevya sio maofisa wa TISS pia TISS sio mkono wa Rais kufahamu kila kinachoendelea, majukumu ya TISS ni usalama wa nchi na sio kila jambo katika nchi ni suala la usalama wa taifa la kushughulikiwa na TISS. Hiko hivyo kwa mashirika ya kijasusi katika nchi zote duniani za demokrasia halisi au zinazojitambulisha hivyo.Kaka unapotosha, hivi unajua yote uliyotataja yanahusika na Usalama wa Taifa,,ndio maana unakuta head wa Pccb,ofisi ya CAG au madawa ya kulevya ni Mtu wao.Tiss wapo kila mahali,na wanafanya kila kitu,katika kuona namna bora ya kuendesha nchi.ule ni mkono wa Rais kufahamu kila linaloendelea. Na taarifa zote zipo sema wanaoenforce ni Taasisi zingine,na wafanya maamuzi ni taasisi nyingine.kwamfano taarifa za rushwa au jinai ili zikamilike,lazima mtu achunguzwe kijinai,afunguliwe mashtaka awe prosecuted mahakamani afungwe.so idara itakuwa ilishatimiza kazi yake.mf.CAG ameshatoa riport itabidi ijadiliwe bungeni yatoke maazimio etc due process ifanyike.so idara inafanya kazi zake kwa weledi, sema mifumo ya kuenforce inakuwa ya kirasimu na inatoa fursa ya haki kwa kila upande kwa mujibu wa katiba na sheria nyingine.
Sikijui hiko kitengo ila kama kipo kinaweza au kinatakiwa kuwa kinafanya udhibiti wa kuzuia utakatishaji fedha kutoka makundi ovu kama ya magaidi, kufanya uchambuzi wa ushindani kutoka mataifa jirani na sera za uchumi na biashara ambazo zinaweza kuleta madhara makubwa katika usalama wa nchi.Tiss kitengo Cha uchumi kazi yao nini?
Shida IPO na watu wasio na welediSijwahi kuona taifa lingine ambalo wizi/ufisadi wa mali za umma unatokea halafu Idara za ujasusi ndizo zinalaumiwa.
Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security". Kufuatilia rushwa, ufisadi katika ofisi za umma, kuendesha uchumi, kupambana na madawa ya kulevya sio kazi yao. Hayo ni majukumu ya vitengo vingine vingi vilivyoundwa mahususi kwa shughuli hizo.
Wao wanapaswa kuingia tu kwenye uchunguzi wa mambo hayo endapo yanahusisha usalama wa taifa, mfano mtu anauza dawa za kulevya kufadhili ugaidi au mtumishi amepewa rushwa kutoa classified information za nchi. Sio kila ufisadi, au biashara haramu ni jukumu la TISS.
Act yao inasema to obtain, correlate, and evaluate intelligence "relevant" to security.
Tuache kwapa TISS majukumu yasiyowahusu, hii ni slippery slope mbaya sana inatengenezwa kwa kufanya hivi. TISS wanapaswa kufanya kazi zao kulingana na Act yao iliyounda hiyo idara.
Kaka pata uwelewa kuhusu mashirika ya kijasusi ,ndio engine ya kuendesha nchi, sio kila jambo linawekwa kwenye sheria! tiss ni serikali ndani ya serikali, wapo kila mahali ,bila Tiss imara nchi inaanguka! Hakuna taasisi,kitengo au idara ambayo hawana mtu waoWewe ndio unapotosha, majukumu ya TISS yameainishwa vizuri kwenye Act yao iliyo katika katiba, hawafanyi kila kitu. Wakuu wa PCCB, CAG na idara ya kupambana na dawa za kulevya sio maofisa wa TISS pia TISS sio mkono wa Rais kufahamu kila kinachoendelea, majukumu ya TISS ni usalama wa nchi na sio kila jambo katika nchi ni suala la usalama wa taifa la kushughulikiwa na TISS. Hiko hivyo kwa mashirika ya kijasusi katika nchi zote duniani za demokrasia halisi au zinazojitambulisha hivyo.
Unaposema "mtu wao" unamaanisha nini hasa??Kaka pata uwelewa kuhusu mashirika ya kijasusi ,ndio engine ya kuendesha nchi, sio kila jambo linawekwa kwenye sheria! tiss ni serikali ndani ya serikali, wapo kila mahali ,bila Tiss imara nchi inaanguka! Hakuna taasisi,kitengo au idara ambayo hawana mtu wao
unadhani wale walioba escrow kwenye biroba hawawezi kupindiu nchi na fedha zile!''To evaluate information relevant to security''. Hapo nmekuelewa, mambo ya ukwapuaji hayawahusu TISS.
nna mashaka na uelewa wako au unafanya makusudi.TISS sio General services unity, ingekuwa general kusingekuwa na PCCB, CID, Financial Intelligence Unit ya BoT, Millitary Intelligence n.k
Ni kutokana na jinsi zinafanya kazi. Kama wanafanya kazi ya uchaguzi, na hadi siasa za chama cha mapinduzi wanaweza kushindwa kudhibiti wizi ma rushwa? Kwanini?Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security". Kufuatilia rushwa, ufisadi katika ofisi za umma, kuendesha uchumi, kupambana na madawa ya kulevya sio kazi yao. Hayo ni majukumu ya vitengo vingine vingi vilivyoundwa mahususi kwa shughuli hizo.