KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
kwenye hii lugha napenda kukosolewa halafu ajabu wabongo wengi mnajikuta mnaijua hii lugha kumbe vikapuku tupu kwenye hii lugha!..Wewe ungeongea kiswahili tu ama nawe ni diasporaš
English haijawahi kuwa na mwenyewe hata Kiswahili watu wanakosea sana sema sisi tunajiona tupo sawa lakini ukifuatisha Kiswahili sanifu chenyewe makosa ni mengi mno!..
nachokiandika nakijua.