Ungejua nilikuwa nasubiri maoni yako juu ya mechi ya jumamosi. Viongozi wa simba wajanja sana na wamefanikiwa kuteka akili za mashabiki wao kuuficha udhaifu wa timu yao. Kwanza mimi naona Yanga hawakucheza katika kiwango chao cha ubora lasivyo Simba wangefungwa 8.Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?