Ungejua nilikuwa nasubiri maoni yako juu ya mechi ya jumamosi. Viongozi wa simba wajanja sana na wamefanikiwa kuteka akili za mashabiki wao kuuficha udhaifu wa timu yao. Kwanza mimi naona Yanga hawakucheza katika kiwango chao cha ubora lasivyo Simba wangefungwa 8.