Tuache kumshambulia Lema, ndugu huyu akishambuliwa Usiri humuondoka na huanika ukweli halisi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM,

Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu kuu ni ajenda zako za siri na huna ukweli ndani ya chama chetu.
Alamsiki.
 
Naona mna cheza mdundo wa cxm . Lema ni mfia tumbo kama braza ake Wembo hand break ilio baki pale CDM ni heche atakua ndio kagoma kutia gia solution ni kumuondoa kwenye nafasi.
 
Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM,

Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu kuu ni ajenda zako za siri na huna ukweli ndani ya chama chetu.
Alamsiki.
We mfia chama wapi bhana Wacha uongo. Yaani Lema awe msafi kuliko Heche?? Is better you watch your back men.
 
Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM,

Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu kuu ni ajenda zako za siri na huna ukweli ndani ya chama chetu.
Alamsiki.
uko sahihi gentleman,
naunga mkono hoja 100%:pedroP:
 
Back
Top Bottom