Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
We mfia chama wapi bhana Wacha uongo. Yaani Lema awe msafi kuliko Heche?? Is better you watch your back men.Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM,
Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu kuu ni ajenda zako za siri na huna ukweli ndani ya chama chetu.
Alamsiki.
uko sahihi gentleman,Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM,
Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu kuu ni ajenda zako za siri na huna ukweli ndani ya chama chetu.
Alamsiki.