Tuache kunyonya vitendea kazi vya mnyanduano kuepuka cancer hatarii sanaa.

Tuache kunyonya vitendea kazi vya mnyanduano kuepuka cancer hatarii sanaa.

Hello,

Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla.

Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi.

Kuna wimbi kubwa sana la watu wadada, wakaka, mabinti, vijana, wenye fungus za koromeo, fungus za midomo, homa za matumbo, kubabuka midomo, na viashiria vya cancer.

Onyo timiza raha na starehe kwa kiasi.

Mungu awasaidie

Wadiz.
hii hatuachi konoo
 
Write your reply...Watu wanaiga mambo ya kwenye porn Sasa madhara Yake ndo hayo.
 
Back
Top Bottom