Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.

Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Pole sana Kwa yaliyokumuta. Ila fanya uchunguzi Kuna mtu anamfanyia huko mchezo mke wako.
 
Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana

Umri wa ndoa? Ngoja ifike miaka 6 halafu upitiw uliyoandika
 
Pole sana Kwa yaliyokumuta. Ila fanya uchunguzi Kuna mtu anamfanyia huko mchezo mke wako.
Kikubwa ndoa inakwenda kuvunjika, sina haja hiyo, ila kama ni kuthibitisha mahakaman, sina shida kufanya vipimo kuthibitisha hilo
 
Duh mkuu pole umeamuaje Sasa?inaonekana una Mali anataka mgawane.
Ni wazimu tu kaka, nyumaba viwanja na gari 1 ndio mali? Yan ndio kwanza nimeanza kusimama katika ujasiriamali kisha anataka kunivuruga na kunifanya nianguke.
Hakuna nilichoamua zaidi ya kwamba taraka sitoi, ila yeye anaruhusiwa kuandika, na all in all kaondoka nyumban so hii ndio imeisha hiyo.
 
Mwanamke ndo anayeongoza kumtukana mpenziwe/mumewe hadharani..

Kwanza hujui kutomba , kimoja tu chalii...mtu mwenyewe Una kibamia ..

Hizi akili sijui huwa wanazitoa wapi? halafu badae anakuja kuomba msamaha
Mwanamke ni wa kusamehewa na kupendwa Ila Mimi tusi ambalo mwanamke akinitukana siwezi kusamehe ni kusema kwanza una kibamia ,hapo siwezi msamehe na ngumi zitatembea
 
Nakusikiliza chief
Muache akae na hao watoto angalau kipindi kifupi, na baada ya hapo ukiona malezi sio mazuri unaruhusiwa kufungua shauri mahakamani kuhusu watoto kutokuwa salama.

Poa ukiacha kumfuatilia unaipa nafasi karma (kisasi asilia) kufanya kazi na atajutia. Ukiendeleq kumfuatilia unakuza vita na watoto watakuona wewe ni katili.
 
ni kweli lakini sisi wanaume tusiwaige kwa kutoa siri zao au udhaifu wao hadharani

Halafu inabidi wanaume watulie tu na kutimiza wajibu wao. Uzoefu unaonesha wanaume wakitulia pindi ya mtafaluku. Hali hutulia na ile attention na sympathy aliyokuwa anaitaka kutoka kwa watu nayo hupotea. Hivyo yeye anaonekana kama mtu aliyechanganyikiwa.
 
Mwanamke ni wa kusamehewa na kupendwa Ila Mimi tusi ambalo mwanamke akinitukana siwezi kusamehe ni kusema kwanza una kibamia ,hapo siwezi msamehe na ngumi zitatembea

Hilo mbona siyo tusi au tusi dogo sana? Maana hayo ni maumbile tu. Jee ukitamkiwa na hawa watoto siyo wa kwako. Si tutakuzika makaburini.
 
Muache akae na hao watoto angalau kipindi kifupi, na baada ya hapo ukiona malezi sio mazuri unaruhusiwa kufungua shauri mahakamani kuhusu watoto kutokuwa salama.

Poa ukiacha kumfuatilia unaipa nafasi karma (kisasi asilia) kufanya kazi na atajutia. Ukiendeleq kumfuatilia unakuza vita na watoto watakuona wewe ni katili.

Ampe muda, kuna kipindi akiishiwa luku halafu chakula kimeisha ndani hana hata buku. Akili zitamkaa sawa. Atakutafuta tu.
 
Muache akae na hao watoto angalau kipindi kifupi, na baada ya hapo ukiona malezi sio mazuri unaruhusiwa kufungua shauri mahakamani kuhusu watoto kutokuwa salama.

Poa ukiacha kumfuatilia unaipa nafasi karma (kisasi asilia) kufanya kazi na atajutia. Ukiendeleq kumfuatilia unakuza vita na watoto watakuona wewe ni katili.
Nashkuru kaka. Ila suala la kwenda mahakaman ni yeye yuko mbioni kunipeleka huko ila auze nyumba.

Pia watoto kaenda nao mbali kias ambacho mimi ni ngumu kupata update ya chochote kinachoendelea huko.

Hapo nafanyaje mkuu???
 
Usiogope mkuu, jipe miezi hata miwili tu utaona matokeo. Kuhusu kuuza nyumba wewe ukifika mahakamani weka zuio ukiwa na sababu moja tu, nyumba ni ya familia hivyo haiwezi kuuzwa kwasababu watoto hawatakuwa na pa kuishi.

Pia kujiweka mbali naye ni kwaajili ya usalama wako mkuu, huwezi jua nini kipo nyuma yake
 
Nimekuelewa chief. Kiukwel week 1 sasa nimeamua kujiweka nao mbali, siwafuatilii, nilikua napenda kupiga simu kwa mama yao niongee na watoto, ila sasa nimeamua pia kuacha. Nassubiri kuitwa mahakaman very soon halaf nitajua kitakachofuata
 
Back
Top Bottom