Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umpatie talaka yake kwani ni lazima uwe na ndoa nae???Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Unafikiri taraka za mahakaman ni kama hiz za JF za kusema tu "piga chini" 😂..Si umpatie talaka yake kwani ni lazima uwe na ndoa nae???
Mambo mengine mnajitakia tu
Unafikiri taraka za mahakaman ni kama hiz za JF za kusema tu "piga chini" 😂..
Mkuu kuna mambo mengi sana ya kuweka sana kesi ikishtinga kwenye ground za kisheria, otherwise lengo la ninyi wanawake wengi litatimia maana huwa mnawaza kutufirisi na kuturudisha nyuma tuanze upya. Kinacholengwa hapo ni mali tu.
By the way hatuko pamoja muda sasa we are apart ila she is counted as my wife ndio maana namu address kama mke wangu kwa ndoa za kikristo. Ila she is far away mpaka muda huu tunaongea
NB
simaanishi wewe personally.
Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Niko njiani to do that, na settle tu kwanza mambo ya msingi, kisha hilo haliepukikiKuliko kuishi maisha ya kukosa raha na manunguniko mpe talaka yake, mali utatafuta tu
Ni kwel mkuu, uko sahihikuna mwingine akiwa kwenye mishe zake huko mtaani huwaambia watu hajaolewa. na wakati ukweli ni kwamba yuko kwenye ndoa kwa miaka 15 sasa. Mungu tu aturehemu tufikie mwisho mwema. tukapumzike, dunia hadaa
Bado unaishi nae???Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Unauthibitisho gani kama ni watoto wako?Hapana, tatizo kakimbia na wanangu, hata hapa tunazungumza hatuko pamoja. Nataka nipate wanangu tu, hilo ndio suala
Kwasasa tumetengana, tuna procesa keai kwaajil ya divorce maana amekua akiitaka sana hiyo. But hatuish pamoja kwasasa, aliiba wanangu wote wanne kakimbia nao kwaoBado unaishi nae???
Watoto ni wangu am sure 100%, ame change hivi karibuniUnauthibitisho gani kama ni watoto wako?
Hapo shida unayo wewe mkuu, mwanamke akisema anaomba talaka ni unampa hapo hapo, kama ni alisema kwa bahati ama hasira, ataenda kujieleza kwao.Baada ya kesi alionifungulia wife kukwama mbele ya gender desk police, akaipeleka baraza za kata nikaitwa kuhojiwa jana, na huko akaongeza tuhuma ili ipate nguvu kes yake ,akawaambia huwa namuingilia kinyume na maumbile..
imagine ni mke wangu na tumezaa watoto 4 kwenye ndoa 15 yrs!!! Now ana force divorce ila hoja zake dhaifu kila anakonipeleka so akanituhum tuhuma hii nzito.
Wewe mkuu hujawajua wanawake bado, tulia kwanza yakukute
Mkuu kubali tu kugawana na kuanza moja,usipo mpa talaka anaweza fanya juu chini akakudedisha na akabaki na vyote,play smart.Ni wazimu tu kaka, nyumaba viwanja na gari 1 ndio mali? Yan ndio kwanza nimeanza kusimama katika ujasiriamali kisha anataka kunivuruga na kunifanya nianguke.
Hakuna nilichoamua zaidi ya kwamba taraka sitoi, ila yeye anaruhusiwa kuandika, na all in all kaondoka nyumban so hii ndio imeisha hiyo.
Tuko kwenye process hiyo ya kuachana mkuu..Hapo shida unayo wewe mkuu, mwanamke akisema anaomba talaka ni unampa hapo hapo, kama ni alisema kwa bahati ama hasira, ataenda kujieleza kwao.
Kama kakupa tuhuma nzito hivyo, je anashindwa kukuwekea sumu kwenye msosi, kukukodia watu wakudhuru?
MUACHE MARA 1.
Yah, tuko kwenye process, sio muda tutqmalizana na hiz habariMkuu kubali tu kugawana na kuanza moja,usipo mpa talaka anaweza fanya juu chini akakudedisha na akabaki na vyote,play smart.