Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

Si umpatie talaka yake kwani ni lazima uwe na ndoa nae???
Mambo mengine mnajitakia tu
 
Si umpatie talaka yake kwani ni lazima uwe na ndoa nae???
Mambo mengine mnajitakia tu
Unafikiri taraka za mahakaman ni kama hiz za JF za kusema tu "piga chini" 😂..
Mkuu kuna mambo mengi sana ya kuweka sana kesi ikishtinga kwenye ground za kisheria, otherwise lengo la ninyi wanawake wengi litatimia maana huwa mnawaza kutufirisi na kuturudisha nyuma tuanze upya. Kinacholengwa hapo ni mali tu.
By the way hatuko pamoja muda sasa we are apart ila she is counted as my wife ndio maana namu address kama mke wangu kwa ndoa za kikristo. Ila she is far away mpaka muda huu tunaongea

NB
simaanishi wewe personally.
 

Kuliko kuishi maisha ya kukosa raha na manunguniko mpe talaka yake, mali utatafuta tu
 

kuna mwingine akiwa kwenye mishe zake huko mtaani huwaambia watu hajaolewa. na wakati ukweli ni kwamba yuko kwenye ndoa kwa miaka 15 sasa. Mungu tu aturehemu tufikie mwisho mwema. tukapumzike, dunia hadaa
 
kuna mwingine akiwa kwenye mishe zake huko mtaani huwaambia watu hajaolewa. na wakati ukweli ni kwamba yuko kwenye ndoa kwa miaka 15 sasa. Mungu tu aturehemu tufikie mwisho mwema. tukapumzike, dunia hadaa
Ni kwel mkuu, uko sahihi
 
Bado unaishi nae???
 
Hapo shida unayo wewe mkuu, mwanamke akisema anaomba talaka ni unampa hapo hapo, kama ni alisema kwa bahati ama hasira, ataenda kujieleza kwao.

Kama kakupa tuhuma nzito hivyo, je anashindwa kukuwekea sumu kwenye msosi, kukukodia watu wakudhuru?

MUACHE MARA 1.
 
Mwanaume kutangaza mapungufu ya mwenzio ni UJUHA, hata kama mmeachana.
 
Mkuu kubali tu kugawana na kuanza moja,usipo mpa talaka anaweza fanya juu chini akakudedisha na akabaki na vyote,play smart.
 
Huyo Mwanamke tayari kwake wewe ni adui yake,maana hapo anachokihitaji ni kugawana hizo mali.
Na ukweli ni kuwa utakuta katika hizo mali mchango wake ni zero,play safe lasivyo unaweza danjishwa.
Wanawake ni watu wenye akili za hovyo sana.
 
Tuko kwenye process hiyo ya kuachana mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…