Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Chadema ikishika Dola wimbo wa taifa utakuja badirishwa.
 
Tutegemee Air Tanzania kuitwa Air Chadema,

Bank of Tanzania kuitwa Bank of Chadema,

Mlima Kilimanjaro kuitwa Mlima Chadema, The List goes on.





















zo
Kila kitu ni Magufuli maana ndiye mwenye nchi. Tusubisi na wewe utakapojiita Stroke a.k.a kiharusi CHADEMA.
 

Attachments

  • Facebook-289.mp4
    403.9 KB
Labda una ajenda nyingine na Chadema. Mnajishikiza kusipo na ngozi
 
Unapokosoa Chadema usiache kutukosoa na sisi CCM, umeona vijana wa temeke CCM walivyouimba huo unaouita wimbo wa taifa?
 
Wapi imekatazwa kunadirisha wimbo wa Taifa??? Taja sheria????

Kwa iyo kunadiri nyimbo ya kumsifu Mungu kumsifu magufuli kwako unaona sawa??
Hizi ndo akili zilizojaa huko CHADEMA. Yaani mtu anadiriki kufananisha kwaya ya kanisani na wimbo wa taifa. Kuna siku mbowe atachapisha buku aweke picha yake mtaona ni sawa kabisa.
 

Hapo ni sawa tu na ccm wanavyotumia magari ya umma kwenda kwenye shughuli za kichama so no problem
 

Wajinga wajinga nani anajali upuuzi Watanzania wanajali maendeleo
 
Kama hutaki waonekane wangeuimba vyumbani mwao
 
Kama kuweka maneno tofauti hakubadili kwanini uweke
 
Huo ni uongo watu wengi wanaheshimu sana wimbo wa taifa, chadema mnashindwa hata na wanafunzi wa shule za msingi.
 
Hivi Tanzania mzima walishindwa kutunga wimbo wa Taifa Hadi tukaamua tuibe wa South Africa?Tanzania hatuna vipaji kabisa?Wimbo wa Tazama Ramani Ni mzuri kuliko wimbo wetu wa taifa,wimbo wa Tanzania Tanzania sio mzuri kiviile.

Ule wimbo kuimbwa vile CDM hasajafanya kosa lolote.Mengine yote Ni maoni ya wadau tu wasio na uelewa wa mambo Kama mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…