Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Sasa Basi, tumewachekea Sana,
 
Mkuu huyo the missile of the Nation ni mwana ACT hivyo anajitahidi kuichafua cdm ili Membe wao apate kuungwa mkono.
Kwahiyo kosa la kubadili bet za huo wimbo ni kwa viongozi tu, ila watu wengine wakifanya hivyo sio kosa! Acha kutetea uhuni wa huyo msajili anayekalia wazi makosa ya msingi. Kumtetea msimamizi mwenye nia ovu, ni unafiki kama unafiki mwingine.
 
Dogo ulikuwa wapi kutoa ushauri, mbona unaumia sasa
 
Dunia ina maajabu yake, et Mtungi naye aliwahi kuwa Jaji!! Dah hii nchi inavituko
 
Tunaomba na maelezo ya hawa hapa
 

Attachments

  • Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaip ( 336 X 640 ).mp4
    818.5 KB
Mi sioni tatizo hapo, maana huu wimbo wenyewe ni wa afrika kusini sisi tumebadilisha maneno tu, na sija sikia wenyewe wakilalamika.
 
Sijua na hiu
 

Attachments

  • Facebook-289.mp4
    403.9 KB
Waache kuharibu wimbo wa taifa Hawa wanasiasa, pia Kuna wimbo joketi alipost wa uvccm, nao wametumia maneno ya wimbo ya taifa, humo ndani na kumtaja magufuli kabisa, Yani aibu pia hata kumsifu Raisi ni kumzalilisha, jamani wimbo wa taifa na uheshimiwe na kila mtu
 
Na wale vijana wa uvccm temeke uje uwaanzishie Uzi wao pia.
CDM ni taasisi kwanini inafanya Mambo ya kizwazwa inajishushia credibility, wimbo wa taifa siwakutaniwa taniwa
 
Mihemko imezidi Sana sijui shida Nini, wapewe tu adhabu iwe fundisho kwa wengine
 
Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???


Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
Walichofanya Chadema, wameimba kwanza wimbo wa Taifa...... Then wakajiimbia wimbo wao kwa kutumia tune ya wimbo wa Taifa.

Original tune ya wimbo huu wa South Africa na ulitungwa mwaka 1897. Sisi tumeiga, Zambia pia wameiga na Chadema nao wameiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…