Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Hii video uliyoweka, hawa wanaoimba wana nafasi gani ndani ya CCM, Je kitendo chao kilikuwa endorsed na CCM, au ni rogue elements tu zimeamua kuimba?

Anyway,. makosa mawili hayafanyi kosa lisiwe kosa.

hebu linganisha kosa lifanywe na Baraza kuu zima la Chadema, Mwenyekiti akiwepo, katibu mkuu yupo na mgombea uraisi yupo nao wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa.

Yaani Baraza kuu zima la Chadema, mbele ya mwenyekiti, na katibu mkuu wake pamoja na wajumbe wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa

Hizi video mbili hazilingani aisee!
Kwa nini hawakukemewa, ndio hoja hapa. Kama serikali hawakukemea watulie kimya, hakuna mtu wala chama kinachoruhusiwa ......
 
Nakuhakikishia, CCM wakiichukua hiyo clip kisha wakaiwashitaki Chadema kwa wananchi kuwa ni watu wasioheshimu alama za Taifa, wananchi wengi hawatopenda hicho kitendo.

Hapa tunajaribu kurekebisha mambo, hatufanyi haya kwa kuwa tunawachukia Chadema bali tunataka iache kufanya makosa unnecessary kama haya.. Yanaweza kuwaallaniate watu
Chadema nao watachukua Clip ya UVCCM watairusha kwenye mikutano yao! ww unawaogopa ccm kwani wanashindaga uchaguzi? huwa wanatangazwa tu
 
Hii video uliyoweka, hawa wanaoimba wana nafasi gani ndani ya CCM, Je kitendo chao kilikuwa endorsed na CCM, au ni rogue elements tu zimeamua kuimba?

Anyway,. makosa mawili hayafanyi kosa lisiwe kosa.

hebu linganisha kosa lifanywe na Baraza kuu zima la Chadema, Mwenyekiti akiwepo, katibu mkuu yupo na mgombea uraisi yupo nao wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa.

Yaani Baraza kuu zima la Chadema, mbele ya mwenyekiti, na katibu mkuu wake pamoja na wajumbe wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa

Hizi video mbili hazilingani aisee!
Missile try to be OBJECTIVE. Hii ni nini?
 

Attachments

  • 2476496_2476480_20200804_195842563030.mp4
    403.8 KB
Kuna watu hawajui kwanini wimbo wa taifa ukiimbwa watu wanasimama chadema wanaweza wakaona hawajafanya kosa kama akili zao zinavyowatuma ila ni kosa kubwa wamelifanya kuelekea uchaguzi mkuu kama ni kick imebuma
kule radio mawingu wanaupiga kila siku mbaya zaidi hauimbiki unavyotakiwa unaimbwa na wabana pua Nani anasimama
 
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.

Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.

Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!

Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.

Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!

Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?

Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.

Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.

Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you

Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo

Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!

Hebu tazama hapa wanavyoimba:

View attachment 1527225
Screenshot_20200805_063654.jpg
 
Kubadili mifuko ya suti na kuweka bendera kama Kangi Lugora si sahihi

TL kauliza, sheria gani ya nembo za Taifa imevunjwa?

Jaji Mutungi ambaye ni Jaji alipaswa kujua hili.

Nina question sana utartibu unaotumika hasa kupata wateule, mabalozi, majaji n.k.

JokaKuu
Mpaka Sasa nasikitika wanadamu wenzetu wanaopenda kujiita waandishi wa habari wanashindwaje kumuuliza hili? wanaishia kurekodi porojo bila kuonesha sheria iliyovunjwa!
 
Huyo ni kati ya watu walio kwisha kuwa mali ya ACT hivyo anajitahidi kueneza chuki dhidi ya cdm, ili ACT iwe mbadala wa cdm lkn naona kila ukijaribu anagonga mwamba.
Watangoja sana
 
..tatizo watu[ccm na msajili] wamekosa hoja za kujadili ndiyo maana wanashughulika na mambo madogo-madogo.

..na mkutano wenyewe vyombo vya habari vilizuiwa kuutangaza hivyo hata wananchi hawakuwa na habari na kilichotokea.

..na hizo nembo za taifa ni kitu gani haswa mpaka tusumbuane kiasi hiki?

.. kuna nchi watu wanavaa CHUPI zina bendera ya taifa na maisha yanakwenda.
Msajili hana habari za shambulio la TL hata salamu tu hakukumbuka
Msajili wa vyama hakusema lolote wakati UVCCM wanatoa kauli za kuua watu.
Msajili hana kauli wakati CCM inaendelea na kampeni
Msajili hana habari wakati watu waliovuliwa uanachama wakiendelea kuwa Wabunge
Msajili hana habari Kangi Lugora ana suti yenye mifuko na Bendera
Msajili hatuelezi ile Tai ya Mwigulu nayo kisheria ipoje?
Msajili alikuwa kimya wakati waziri anapiga marufuku wimbo wa Taifa

Sasa tunamsikia akizungumzia ubeti wa wimbo wa Taifa

Hivi kwanini Msajili asikae kimya tuu, kwani ni lazima aseme! Kila anaposema anatuacha na maswali kuhusu suala zima la teuzi zetu na vigezo gani vinatumika na endapo Ujaji una matter katika kazi za kawaida, sidhani !
 
Eti wabana pua [emoji1][emoji1]
Yes asee huwa nachukia sana nikiusikiaga kule ilitakiwa wawaombe wanajeshi wawapigie kitaalam sio ule upuuzi waliofanya namna ile ndio vinapunguza hata hiyo heshima ya wimbo wenyewe
 
Kwa hiyo leo Baraza kuu la Chadema lilosheheni viongozi wa Chama kama vile Mwenyekiti, Katibu mkuu, viongozi wa Kanda wameamua kujitoa ufahama kwa sababu kuna vijana wa UVCCM wamejitoa ufahamu?

Hebu tuficheni aibu
Kosa likifanywa na vijana wa CCM wa Temeke haiwi sahihi kufanywa na Uongozi mkuu kabisa wa Chadema tena vikaoni.

Leo Role Models wa Baraza kuu la Chadema wamekuwa ni vijana hao wa UVCCM wa Temeke?

Acheni utani!
 
Yes asee huwa nachukia sana nikiusikiaga kule ilitakiwa wawaombe wanajeshi wawapigie kitaalam sio ule upuuzi waliofanya namna ile ndio vinapunguza hata hiyo heshima ya wimbo wenyewe
Ndalichako aliwahi kupiga marufuku uimbaji holela wa wimbo wa Taifa lakini Rais akatengua hilo agizo la Ndalichako
 
Kwa hiyo leo Baraza kuu la Chadema lilosheheni viongozi wa Chama kama vile Mwenyekiti, Katibu mkuu, viongozi wa Kanda wameamua kujitoa ufahama kwa sababu kuna vijana wa UVCCM wamejitoa ufahamu?

Hebu tuficheni aibu
Kosa likifanywa na vijana wa CCM wa Temeke haiwi sahihi kufanywa na Uongozi mkuu kabisa wa Chadema tena vikaoni.

Leo Role Models wa Baraza kuu la Chadema wamekuwa ni vijana hao wa UVCCM wa Temeke?

Acheni utani!
Mzee acha kuhamisha MAGOLI tatizo ni kuhalifiwa kwa wimbo
 
Mkuu hivi hawa UVCCM waliimba wimbo huo kwenye tukio rasmi la chama chao?
Sasa tunaanza rasmi kuhalalisha makosa kutokana na makosa (Does two wrongs make it a right, nowadays?)

Sina majibu sahihi nimeuliza nijifunze.
Swali lako linahalalisga upande mmoja na kuharamisha upande wa pili kwa pande zilizofanya jambo moja
 
Kwa hiyo leo Baraza kuu la Chadema lilosheheni viongozi wa Chama kama vile Mwenyekiti, Katibu mkuu, viongozi wa Kanda wameamua kujitoa ufahama kwa sababu kuna vijana wa UVCCM wamejitoa ufahamu?

Hebu tuficheni aibu
Kosa likifanywa na vijana wa CCM wa Temeke haiwi sahihi kufanywa na Uongozi mkuu kabisa wa Chadema tena vikaoni.

Leo Role Models wa Baraza kuu la Chadema wamekuwa ni vijana hao wa UVCCM wa Temeke?

Acheni utani!
Usihamishe magoli... hakuna sheria iliyovunjwa...
 

Attachments

  • VID-20200805-WA0005.mp4
    1.5 MB
Halafu hao vijana wa UVCCM Temeke hawawakilishi CCM nzima maana ni kitawi kidogo, na hakuna ushahidi kitendo chao kina baraka za vikao vya Chama. Hao kesi yao ingeweza kushughulikiwa na BASATA au jeshi la polisi.

Ndiyo maana Msajili wa vyama vya siasa hakuionya Chadema nzima pale Nusrat Hanje alipobadili mabeno ya wimbo wa Taifa na kuweka Uchadema ndani yake, bali kesi yake imeshughulikiwa na polisi na ndiyo maana yuko Lupango hadi hivi sasa.

Lakini hili la uongozi mzima wa Chadema kubadili maneno ya Taifa tena wakiwa vikaoni hili linahusu Chama chote, kwa hiyo Msajili anaowajibu wa kuwapa onyo Chadema waache mchezo wao huo!
 
Ni kweli usemayo, lakini hakuna mwananchi wa nchi hii atawadharau cdm kisa wameimba wimbo wa taifa na kuweka neno cdm. Usije ni mihemko vya kiccm. Zaidi ya asilimia 90% ya watanzania hakuna anayekwazika kwa matumizi yoyote ya huo wimbo wa taifa, hata huo wimbo ukaupigie guest no body cares. Usitake kuja kuleta utetezi wa wasimamizi wa siasa chafu, kwa kutaka kujifanya mzalendo kumbe tapeli tu. Kawaambie ACT waimbe wakiwa wamepiga magoti ili waaminike na wananchi kisha wapewe nchi.
Mkuu mbona haya maoni yako umetoa kama Mmawia?

Yani kwa vile wananchi hawakwaziki basi chadema wanaweza kufanya lolote kwenye huo wimbo?
 
Hata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
NDUGU CONSIGLIERE (MAFIA). NINAKUSHUKURU SANA KWA HII VIDEO, MIMI NI MWANA CCM NINAKIPENDA CHAMA CHANGU, NA KILA NAJISIFIA NACHO. LAKINI WANAPOFANYA MAKOSA SIWAUNGI MKONO NA NINA KEMEA WAZIWAZI, NISIKIKE AU NISISIKIKE. CHADEMA WAMEKOSEA SANA KUBADILI NYIMBO YA TAIFA, LAKINI MSAJILI WA VYAMA KUWA FAIR, CHADEMA HAWAKUANZA WAO , CCM NAO WAPEWE ONYO, NA USHAHIDI NI KAMA HUU NA KAMA SIO PHOTO AND VOICE EDITING.

SWALI LENGINE, HII NYIMBO NI DUA YA KUMUOMBA MUNGU, JEE WATU,TAASISI AMA HATA NCHI WANA HATI MILIKI YA MANENO YA DUA KWA MUNGU? JEE MUNGU IBARIKI CHADEMA, HAIMAANISHI WATANZANIA WABARIKIWE? JEE MUNGU MBARIKI MAGUFULI, SIO MTANZANIA ABARIKIWE?

MUNGU NIBARIKI NA IBARIKI TANZANIA
 
Kunya anye kuku, akinya Bata kaharisha... Usituletee siasa zenu za majitaka aisee, hilo katazo / onyo lenu lingeanza kwa wale vijana wa CCM temeke.

SHAME ON YOU MATAGA
 
Vyombo vya habari vimegoma kutangaza na kuandika habari za mkutano mkuu wa Chadema . Wameamua kumtumia msajili kuwatangaza msajili kaingia kingi.
 
Back
Top Bottom