Utaambiwa wewe sukuma gang,Kama kichwa kinavyojielea..
Ni ujinga na upumbavu kuendelea kulea wazembe, wajinga, wapumbavu, wezi nk huko makazini huku mtaani kuna malaki ya vijana kwa wazee hawana ajira..
Ni wakati wa Serikali, taasisi zake, na mashirika yote yaliopo Tanzania kulibeba hili na kutolea wazembe, wajinga na wapumbavu... Taifa linazidi kuwa na watu wajinga kwa sababu ya kuleanaleana tu..
Makampuni yote ya kigeni na wawekezaji waambiwe kabisa marufuku kulea wajinga, wapumbavu na wazembe...walijue hili wanapokuja Tanzania..
Tunahitaji sasa Taifa la wakakamavu, majasiri, mahodari, wachapa kazi, watu wenye nguvu na sio blah blah zilizojaa kila kona.
Mkuu punguza jaziba siku zako za kupata kazi zinakuja
Nchi ngumu sana hii.. wengi wanaostahili kuajiriwa na serikali wapo vijiweni DAAH
Watu wa hivyo huogopwa na kukatwa wenye mfumo wanaogopa challenge hivyo wanataka watu dhaifu wawacontrooTaifa haliwezi kujengwa na watu legelege, wavivu, wazembe, wezi,waongo, wanafiki, wapumbavu, wala rushwa, watoa rushwa, malaya malaya nk..
Ipo haja sasa yakujenga jamii imara inayoishi na kuamini katika fact, jamii ya watu waelevu, watu wakakamavu nk..
Chief nashukuru Mungu binafsi naweza kusurvive, shida yangu ipo pale tunapolea uzembe huku kuna vijana wengi wanabrain, good altitude, more powerfully, nk wako mtaani hawatumiki.... Kuna mijitu mipumbavu, mijizi, mimalaya, miongo na kila aina ya dhambi ipo tu tunailea...