Tuache longolongo, Je ni kweli Halima Mdee hajawahi kuongelea barabara?

Tuache longolongo, Je ni kweli Halima Mdee hajawahi kuongelea barabara?

Halima miaka 10 mfululizo inamtosha sana sasa ni wakati aje mtu mwingine ashirikiane na serikali kuondoa kero na kuleta maendeleo kwa ujumla.

Halima akaangalie maswala mengine huko BAWACHA panapo majaaliwa maana kumbe kupata viti maalum kunategemeana na mwandamo wa mwezi!

Kwa sample size iliyopo ni Gwajima tu anayeweza kutosha kushinda!
 
Hata kwa kuzingatia Historia hebu wakongwe tuambieni kwa jimbo la Kawe ni Mbunge gani alishawahi kuwa mbunge kwa zaidi ya vipindi 2 Yani miaka 10 ?

Je kina Ritha Mlaki na wengineo waliwahi kuwa wabunge kwa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom