Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

Philipo nadhani ameona apumzike coz afya yake inahitaji utulivu

sheria inasema waziri mkuu anakaa kwa miaka 10 tuu au vipindi viwili... sasa majaliwa ameona kuliko akakae mabenchi ya nyuma ni bora atundike daluga kwa heshima. Na mimi nampongeza
 
Embu fikiria utoke kuwa waziri mkuu hadi naibu waziri wewe ungependelea likukute la hivyo?. Ni hali tu yakuepusha fedheha.

Bora lawama kuliko fedheha, na wengine wanasema kustaafu kwa heshima.

Ni sawa na Mh. Ndugai, nitashangaa kama ataendeleza habari za kutia nia.

Mchezaji ngoma mzuri anajua wakati wakushuka jukwaani.
 
Hivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
 
Sio kweli.
 
From whose order? Samia?
 
Back
Top Bottom