Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sisi wengine ngoja tuendelee kupambana na 200k za masimango sekta binafsi10mil kwa mwezi!!?? Aisee wanaenjjoy
Sisi wengine ngoja tuendelee kupambana na 200k za masimango sekta binafsi10mil kwa mwezi!!?? Aisee wanaenjjoy
KabisaaaSisi wengine ngoja tuendelee kupambana na 200k za masimango sekta binafsi
IL ukweli usemwe, ni nani watamweka aweze kutuaminisha watz kuwa CCM ni nzuri... Msogo anajilindia interest zake tu!Katelephone ameshinikizwa hakutaka aliitwa mwenyewe jumba jeupe mshauri mkuu alikuwa ni yule CIA wa east afrika mzee wa msoga wamemwambia aache kugombea atazalilika team ya sasa inaanda gang ambayo haitokuja kutetereka tena kama ilivyotokea 2015 hawataki yajirudie
Mange kimambi ni mropokaji wa taifa, usimtilie maanani. Najua nyumbu wake mtanuna kuona mtu wenu nimemuita mbwatukaji.Hivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
Yaaah! Sometimes information zake nusu uongo nusu ukweli, tunaishi nazo hivyo hivyo.Mange kimambi ni mropokaji wa taifa, usimtilie maanani. Najua nyumbu wake mtanuna kuona mtu wenu nimemuita mbwatukaji.
AlitungaHivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
Hana tofauti sana na kigogoYaaah! Sometimes information zake nusu uongo nusu ukweli, tunaishi nazo hivyo hivyo.
Kwani waziri mkuu anaweza kuendelea kwa miaka 15 ? Na atajisikiaje kuwa mbunge na mtu wa kawaida ndani ya bunge lijalo? Amefanya vizuri sana!! Unaweza kusimamia miradi yako mwenyewe na ukapata hela zaidi ya waziri au mbunge tena kwa amani zaidi!! Akiweka hela zake UTT au akachimba nickel atapata hela nzuri sana kuliko kugomba na watu Kila siku!! Kama JPM angekuwa hai,Leo angegombea Uraisi!! He was presidential candidate!!Nini kinaendelea
Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
Wote, hawakuwa na hiari.Mmoja hapo si kwa hiari yake....!
Mitano tena ni lazima. Haina mjadala.Wamemparura mzanzibari.
Hakianani watanganyika tukikubali huyu mzanzibari achukue mitano tena atatutanya mbaya sana.
Kwa katiba ya Tanzania, nafasi ya waziri mkuu haina ukomo wa vipindi, hata akiweza anaweza kukaa vipindi nane (miaka 40) bado katiba inaruhusu.Kwani waziri mkuu anaweza kuendelea kwa miaka 15 ? Na atajisikiaje kuwa mbunge na mtu wa kawaida ndani ya bunge lijalo? Amefanya vizuri sana!! Unaweza kusimamia miradi yako mwenyewe na ukapata hela zaidi ya waziri au mbunge tena kwa amani zaidi!! Akiweka hela zake UTT au akachimba nickel atapata hela nzuri sana kuliko kugomba na watu Kila siku!! Kama JPM angekuwa hai,Leo angegombea Uraisi!! He was presidential candidate!!
Philipo nadhani ameona apumzike coz afya yake inahitaji utulivu
sheria inasema waziri mkuu anakaa kwa miaka 10 tuu au vipindi viwili... sasa majaliwa ameona kuliko akakae mabenchi ya nyuma ni bora atundike daluga kwa heshima. Na mimi nampongeza
Siasa ni mkezo furalani!! Atakuwa amezipata za chini kuwa hatopewa u PM au atapewa u PM na hataki biashara hiyo!! Au anataka kuhama chama .you never know!! Muda mchache sana!!Kwa katiba ya Tanzania, nafasi ya waziri mkuu haina ukomo wa vipindi, hata akiweza anaweza kukaa vipindi nane (miaka 40) bado katiba inaruhusu.
Kama Majaliwa aliamua kung'atuka, ilipaswa itangaze hilo wiki iliyopita akiwa bungeni, badala yake kwa shangwe, mbwembwe na vifijo akatangaza ATAGOMBEA. Sasa hakujua kufanya hivyo kunamvunjia heshima?
Nini kimemkuta mpaka siku ya mwisho kabisa dakika za majeruhi kutangaza kuwa hagombei?
Jibu ni moja tu, huenda ni KIBANO kutoka kwa Mzanzibar.
Ile kitu ya Arusha inataka kuwekwa relini ikachane nyavu au? Hata Trump aliikataaNini kinaendelea
Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
aisee!?According to the she, shikizo ni kutoka kwa bi mkubwa.