Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

Katelephone ameshinikizwa hakutaka aliitwa mwenyewe jumba jeupe mshauri mkuu alikuwa ni yule CIA wa east afrika mzee wa msoga wamemwambia aache kugombea atazalilika team ya sasa inaanda gang ambayo haitokuja kutetereka tena kama ilivyotokea 2015 hawataki yajirudie
IL ukweli usemwe, ni nani watamweka aweze kutuaminisha watz kuwa CCM ni nzuri... Msogo anajilindia interest zake tu!
 
Hivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
Mange kimambi ni mropokaji wa taifa, usimtilie maanani. Najua nyumbu wake mtanuna kuona mtu wenu nimemuita mbwatukaji.
 
Hivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
Alitunga
 
Nini kinaendelea

Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
Kwani waziri mkuu anaweza kuendelea kwa miaka 15 ? Na atajisikiaje kuwa mbunge na mtu wa kawaida ndani ya bunge lijalo? Amefanya vizuri sana!! Unaweza kusimamia miradi yako mwenyewe na ukapata hela zaidi ya waziri au mbunge tena kwa amani zaidi!! Akiweka hela zake UTT au akachimba nickel atapata hela nzuri sana kuliko kugomba na watu Kila siku!! Kama JPM angekuwa hai,Leo angegombea Uraisi!! He was presidential candidate!!
 
Kwa katiba ya Tanzania, nafasi ya waziri mkuu haina ukomo wa vipindi, hata akiweza anaweza kukaa vipindi nane (miaka 40) bado katiba inaruhusu.

Kama Majaliwa aliamua kung'atuka, ilipaswa itangaze hilo wiki iliyopita akiwa bungeni, badala yake kwa shangwe, mbwembwe na vifijo akatangaza ATAGOMBEA. Sasa hakujua kufanya hivyo kunamvunjia heshima?
Nini kimemkuta mpaka siku ya mwisho kabisa dakika za majeruhi kutangaza kuwa hagombei?

Jibu ni moja tu, huenda ni KIBANO kutoka kwa Mzanzibar.
 
Philipo nadhani ameona apumzike coz afya yake inahitaji utulivu

sheria inasema waziri mkuu anakaa kwa miaka 10 tuu au vipindi viwili... sasa majaliwa ameona kuliko akakae mabenchi ya nyuma ni bora atundike daluga kwa heshima. Na mimi nampongeza

Wakati anatangaza Bungeni hakulijua hilo..!?
 
Kwa katiba ya Tanzania, nafasi ya waziri mkuu haina ukomo wa vipindi, hata akiweza anaweza kukaa vipindi nane (miaka 40) bado katiba inaruhusu.

Kama Majaliwa aliamua kung'atuka, ilipaswa itangaze hilo wiki iliyopita akiwa bungeni, badala yake kwa shangwe, mbwembwe na vifijo akatangaza ATAGOMBEA. Sasa hakujua kufanya hivyo kunamvunjia heshima?
Nini kimemkuta mpaka siku ya mwisho kabisa dakika za majeruhi kutangaza kuwa hagombei?

Jibu ni moja tu, huenda ni KIBANO kutoka kwa Mzanzibar.
Siasa ni mkezo furalani!! Atakuwa amezipata za chini kuwa hatopewa u PM au atapewa u PM na hataki biashara hiyo!! Au anataka kuhama chama .you never know!! Muda mchache sana!!
 
Siyo kawaida kwa ngozi nyeusi ni lazima kuna sababu muda utaongea.

Hata kama kuna benefits kibao wataendelea kupata lakini binadamu ana hulka ya kuhitaji zaidi na zaidi.

Kadri unavyopata,ndivyo unavyotaka zaidi.
 
Makamu ametoka kwa busara zake na hekima na aachwe apumzike, huyu mwingine ndio ametuacha kwenye mataa ya Kamata kuelekea gongolamboto
 
Kiliçhowatoa hao ni kutokukubaliana na bosi wao.Bosi wao hawamkubali kabisa namna anavyoendesha gari maana anaelekeza Korongoni lakini wao walitaka uelekeo ulio safi.
 
Back
Top Bottom