watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Ikitengenezwa vibaya inapaliaWamemparura mzanzibari.
Hakianani watanganyika tukikubali huyu mzanzibari achukue mitano tena atatutanya mbaya sana.
Mmoja hapo si kwa hiari yake....!Nini kinaendelea
Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
Umeandika kimbweha mbwehaWamemparura mzanzibari.
Hakianani watanganyika tukikubali huyu mzanzibari achukue mitano tena atatutanya mbaya sana.
10mil kwa mwezi!!?? Aisee wanaenjjoyPosho zao za kila mwezi mpaka kufa ni keki tosha, ni watu wangapi wanaweza kulipwa 10m+ per month wakiwa wamelala makwao
Sio kweli.Hivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
Utakuwa una connection na KizimkaziUmeandika kimbweha mbweha
Bora aisee.Sio kweli.
Katelephone ameshinikizwa hakutaka aliitwa mwenyewe jumba jeupe mshauri mkuu alikuwa ni yule CIA wa east afrika mzee wa msoga wamemwambia aache kugombea atazalilika team ya sasa inaanda gang ambayo haitokuja kutetereka tena kama ilivyotokea 2015 hawataki yajirudieMmoja hapo si kwa hiari yake....!
From whose order? Samia?Hivi andiko la mange kwamba taarifa ya kuahirisha kugombea ubunge majaliwa ilitangulia yeye akiwa njiani kurudi dar, ile kufika tu kumbe yupo chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda kuwa shukuru wajumbe wa ruangwa!
Ni ya kweli ama ni tungo tu?
According to the she, shikizo ni kutoka kwa bi mkubwa.From whose order? Samia?