missHiyo kweli lakn pia kuna baadhi ya wanaume sijui ndo udomozege au VP yaani MTU unachat na mwanamke kama unachat na mwanaume mwenzio, they ain't romantic at all yaan mpaka unawaza huyu akiwa mume itakuwaje ndani inabidi ujikatae,
Hapana mkuu yaani kuna ile unachat na mtu mpaka unajiuliza nilimtafuta wa nn kuna baadhi wanachat dry sana na mm ndo tunashindwana hapo mtu anakuuliza maswali kama boss anakufanyia interviewmiss
yaan mtu had kwenye kuchat awe romantic, hata bado hamja fahamiana uzuri, bado hamjatambuana poa, ana anaza tu kuwa romantic!!? hapo mnatuonea bhana, give them a time hapo unaweza ku determine, ilimrad asiwe ana kutukana au ana kuvunjia heshima yako na utu wako
Hapana mkuu yaani kuna ile unachat na mtu mpaka unajiuliza nilimtafuta wa nn kuna baadhi wanachat dry sana na mm ndo tunashindwana hapo mtu anakuuliza maswali kama boss anakufanyia interview
Kuwa romantic sio lazima kumuita mtu mpenzi, angalau mtu atumie maneno malaini laini sio unakuwa mgumu kama unachat na dume mwenzio doooh!!miss
yaan mtu had kwenye kuchat awe romantic, hata bado hamja fahamiana uzuri, bado hamjatambuana poa, ana anaza tu kuwa romantic!!? hapo mnatuonea bhana, give them a time hapo unaweza ku determine, ilimrad asiwe ana kutukana au ana kuvunjia heshima yako na utu wako
Mfano wa hayo maswali ni yapi?Hapana mkuu yaani kuna ile unachat na mtu mpaka unajiuliza nilimtafuta wa nn kuna baadhi wanachat dry sana na mm ndo tunashindwana hapo mtu anakuuliza maswali kama boss anakufanyia interview
Unachata [emoji117] UnachatKuwa romantic sio laxima kumuita mtu mpenzi, angalau mtu atumie maneno malaini laini sio unakuwa mgumu kama unachata na dume mwenzio doooh!!
Maybe wapo watakaoconsider, mie hilo kabila sijui kwanini tu, yaani basi tu kwakweli.Unachata [emoji117] Unachat
Sasa kama asili yetu (Wakurya) sio watu wa kubembeleza au kutumia maneno malaini...wataka nifanyaje?
Kwanini pia msiwe mnaconsider hilo?
Ushauri kwa wanaume wanaoweka post za kutafuta wenza mtu akiona yuko interested akakufuata try to be romantic
Usiseme hivyo dada, na usisikilize maneno ya watu. Wakurya wa sasa wana mioyo mizuri sanaMaybe wapo watakaoconsider, mie hilo kabila sijui kwanini tu, yaani basi tu kwakweli.
Mie mtu wa mara ila hao watu hapana kabisaaaaaa!!!Usiseme hivyo dada, na usisikilize maneno ya watu. Wakurya wa sasa wana mioyo mizuri sana
Tena wengine ni walaini kabisa na wanawasikiliza wake zao.
Karibu Mara.
Usiseme hivyo pls...wakurya hawakuamua wenyewe kuwa wa kabila hiloMie mtu wa mara ila hao watu hapana kabisaaaaaa!!!
NO.Usiseme hivyo pls...wakurya hawakuamua wenyewe kuwa wa kabila hilo
Nichat na mtu kibabe?? Noway!!bora awe anachart kibabe,kuliko unachart na MTU ukidhani kuwa ni chombo kipya kumbe ni yuleyule Wa juzi ila kaja na ID mpya na hadhi ya NEW MEMBER!!!!!!!!
Umeonaee mkuu yaani utahis unachat na robot yaani maswali ni dry kama vile unafanyiwa interview ya Kazi ,Kuwa romantic sio lazima kumuita mtu mpenzi, angalau mtu atumie maneno malaini laini sio unakuwa mgumu kama unachat na dume mwenzio doooh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu et wakurya, mkuu kila kitu unajifunzaUnachata [emoji117] Unachat
Sasa kama asili yetu (Wakurya) sio watu wa kubembeleza au kutumia maneno malaini...wataka nifanyaje?
Kwanini pia msiwe mnaconsider hilo?
Hahaa yaani mm ndo sitamani japo sijui kama ni wote , ila I used to have a boyfriend wa kikurya aisee sitaki kukumbukaMaybe wapo watakaoconsider, mie hilo kabila sijui kwanini tu, yaani basi tu kwakweli.
Vizuri mkuu unajua mwanamke anahitaji vitu vidogo tu ambavyo ww unaweza kuvidharau lkn kwake vina maana , like lugha laini ukiwa unachat nae sio unachat kama unachat na mshikajiDoooh kwa niaba ya madomo zege wenzangu... Tumepokea ushauri wako kwa mikono miwili natutajitahidi kulifanyia kazi
Mfano nikikuuliza, walishakufanyia kipi kibaya?
[emoji23] [emoji23]Usiseme hivyo dada, na usisikilize maneno ya watu. Wakurya wa sasa wana mioyo mizuri sana
Tena wengine ni walaini kabisa na wanawasikiliza wake zao.
Karibu Mara.