Sio wote ni wabaya...hata kwenye makabila mengine kuna makatili kuliko wakurya.Hahaa yaani mm ndo sitamani japo sijui kama ni wote , ila I used to have a boyfriend wa kikurya aisee sitaki kukumbuka
izoizo za kimya kimya za kusema miss chagga ndo miss natafutamimi mtu wa kawaida tu wala sina kiki yoyote mkuu
Mie ndio sitaki hata kusikia.Hahaa yaani mm ndo sitamani japo sijui kama ni wote , ila I used to have a boyfriend wa kikurya aisee sitaki kukumbuka
Yaani we acha tu, sitaki kwakweli, nusura nisalimiane na ziraili.Mfano nikikuuliza, walishakufanyia kipi kibaya?
Huyo atakuwa alitokea Tarime ndanindani kwenye mfumo dume gYaani we acha tu, sitaki kwakweli, nusura nisalimiane na ziraili.
Yeah ila walio wengi wako hivoSio wote ni wabaya...hata kwenye makabila mengine kuna makatili kuliko wakurya.
Ni nyie tu hamjabahatika kuwapata.
Ndivyo wanavyosemaga hivyo hivyo, na kazaliwa na kukulia mjini. kwakweli nilishaweka fullstop, sitaki hata kusikia.Huyo atakuwa alitokea Tarime ndanindani kwenye mfumo dume g
Haswaa...ila Wakurya waliojichanganya mijini hawana ujinga huo.
Maneno yako yameniumiza sana usiku huu,Ndivyo wanavyosemaga hivyo hivyo, na kazaliwa na kukulia mjini. kwakweli nilishaweka fullstop, sitaki hata kusikia.
hahahaHapana mkuu yaani kuna ile unachat na mtu mpaka unajiuliza nilimtafuta wa nn kuna baadhi wanachat dry sana na mm ndo tunashindwana hapo mtu anakuuliza maswali kama boss anakufanyia interview
hahahahaaKuwa romantic sio lazima kumuita mtu mpenzi, angalau mtu atumie maneno malaini laini sio unakuwa mgumu kama unachat na dume mwenzio doooh!!
mkuu dunia mpya ndio iko hivoNanyie mkome kupenda kuseleleka.we. ushindwe kupata mtu wa kukufaa huko kwenye mtaani maisha halisi utegemee kuja kumpatia humu?
Nyota njema huonekana asubuhi mkuuhahaha
njoo PM bas unipe mifano vizuri.
ile inakuwa intro, mtu ana taka kukufaham tu
Nakupata mkuu wala sijasema ni jambo baya,mie mwenyewe nmetega nyavu zangu maeneo kadhaa(sio jf).tatizo hawa wanaodandia alafu wanashindwa kukabiliana na changamoto wanakuja kulialiamkuu dunia mpya ndio iko hivo
kutafuta mke kunakuja kwa aina mpya, sema baadaye tutazoea tu naona watu wengi now mnaonaga ni shda ila actually its good kabsa, ku date online its ok
bas naomba unipe koz ya lugha romantic staki kukosa watoto wazuriNyota njema huonekana asubuhi mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakupata mkuu wala sijasema ni jambo baya,mie mwenyewe nmetega nyavu zangu maeneo kadhaa(sio jf).tatizo hawa wanaodandia alafu wanashindwa kukabiliana na changamoto wanakuja kulialia
Umejaribu tinder mkuu.iko vizuri.hawa wageni wacha walie na kusaga meno,watajifunza kwa ekspirience[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama site mpya nistue mkuu, tupate adventure wote huko.
aah ni kwamba watu hawajui, datimg online inakuwaga na fkaws sku zote, kwa sababu ni our characters na siyo siye halisi tunao wasiliana pale, ni kweli mapovu yanakuwa mengi
ila naamini baadaye watu watazoea tu
aaah!Umejaribu tinder mkuu.iko vizuri.hawa wageni wacha walie na kusaga meno,watajifunza kwa ekspirience