[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ama huko ni kuzuri. Itabidi nikutafute kwa muda wangu ukanioneshe hilo chimbo jipya la mjini!Hahah huko ni kimya kimya shosti,hata ukikutana na mtu unayemfahamu mnapishana kama hamjuani.ni kama ule msemo wa what happens in vegas stays in vegas
Alafu ndo tuseme ile ndoano yangu hujaiona ama ndo unadankidanki tu.
Wewe tu.ila uje tu na nauli yako ntakuzungusha chocho zote.[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ama huko ni kuzuri. Itabidi nikutafute kwa muda wangu ukanioneshe hilo chimbo jipya la mjini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndoano yako imemezwa na chambo chake!
Tatizo hili sio kwa new members tu! Wapo ma senior members wenye tabia za hovyo huwezi amini.Nalaani vikali sana vitendo hivyo vya baadhi ya wana New Member wa jukwaa hili. Naagiza mamlaka huska zichukuwe hatua Kali za kisheria
hahahaHahah huko ni kimya kimya shosti,hata ukikutana na mtu unayemfahamu mnapishana kama hamjuani.ni kama ule msemo wa what happens in vegas stays in vegas
Alafu ndo tuseme ile ndoano yangu hujaiona ama ndo unadankidanki tu.
Ulifanya vyema kupita kimyakimyahahaha
kuna mtandao flan hivi nilimkuta sista mmoja alikuwa anajifanya yeye hana time na wanaume, hahaha nilimcheka kimoyo moyo nikamuacha tu.
nilitaka nimchokoze ka date ka kumzongua nikaona siyo poa
Kabisa, maana mjini tunatafuta pesa sio kutafutana.hahaha
kuna mtandao flan hivi nilimkuta sista mmoja alikuwa anajifanya yeye hana time na wanaume, hahaha nilimcheka kimoyo moyo nikamuacha tu.
nilitaka nimchokoze ka date ka kumzongua nikaona siyo poa
Ulifanya vyema kupita kimyakimya
hKabisa, maana mjini tunatafuta pesa sio kutafutana.
hahahaaUlifanya vyema kupita kimyakimya
Pole sana.Maneno yako yameniumiza sana usiku huu,
Mlaini kimatendo!!hahahahaa
wengine ujue asili zetu ni kama tuko hivo, sema mi naona si vema ku give up mapema before hamja meet ukute ni mgum kwenye msg ila mlain kimatendo, give us a chance jaman
Hahaha we pita tu,kama hujaona kituh
hahahaa
naona mme masaidia kabsa, simchokozi tena na mie naendelea na yangu tu
Pole sana! Ila atafutae hachoki,endelea kutafuta utapata dadangu.Nilitafuta wa kula naye pension nikakosa,