DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hatua hii inafikiwaje mkuu ?bunge lipit
sheria no #1 iwe
MTU asiruhusiwe kupost Uzi wa kutafuta mpenzi kabla hajafikia hadhi ya JF-EXPERT MEMBER,-hapa tutakuwa tumewabana wasichana wanaokuja na IDs mpya kila Leo!!!!
Mbona mi huwa sifuatwi PM mweee.....Hiyo kweli lakn pia kuna baadhi ya wanaume sijui ndo udomozege au VP yaani MTU unachat na mwanamke kama unachat na mwanaume mwenzio, they ain't romantic at all yaan mpaka unawaza huyu akiwa mume itakuwaje ndani inabidi ujikatae,
Duh! Naogopa kuchangia, nami mgeni humu. Lakini ndugu hata jina la mtandao wenyewe si unatuhukumu? Mi nilidhani humu ni kupasuana vichwa au atleast ni yale yenye mantiki saaana?mi humu ni mgeni lakini kuna mambo kiukweli yamenichukiza tena sanaa
najiuliza wewe kama unakuta mwanaume mwenzio kapost humu anatafuta mpenzi/mchumba kwa vigezo vyake...we kinakukera nini?
unakuta lijitu limeng'ang'ana kucomment kumpinga au kumvunja moyo mwenzie
tena anakereka kweli; anacomment hata mara 5, na ukiangalia/ukisoma hiyo post hata haimuhusu!
embu tuache kujiaibisha wanaume! usiwe na muwasho usiokuhusu!
watu wengine wapo serious humu..na sio kama ukiona mtu amepost anatafuta mpenzi/mchumba humu umuone muhuni; ajielewi au amekosa kazi!
jitambue; jiheshimu! usikurupukie visivyo kuhusu!