Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

No one can offend you without your permission. They can say whatever they want but you have the right to ignore it
 
bunge lipit

sheria no #1 iwe
MTU asiruhusiwe kupost Uzi wa kutafuta mpenzi kabla hajafikia hadhi ya JF-EXPERT MEMBER,-hapa tutakuwa tumewabana wasichana wanaokuja na IDs mpya kila Leo!!!!
Hatua hii inafikiwaje mkuu ?
 
Hiyo kweli lakn pia kuna baadhi ya wanaume sijui ndo udomozege au VP yaani MTU unachat na mwanamke kama unachat na mwanaume mwenzio, they ain't romantic at all yaan mpaka unawaza huyu akiwa mume itakuwaje ndani inabidi ujikatae,
Mbona mi huwa sifuatwi PM mweee.....
Aaaaah kumbe sijawahi tafuta mpenzi kwenye love connect
 
mi humu ni mgeni lakini kuna mambo kiukweli yamenichukiza tena sanaa

najiuliza wewe kama unakuta mwanaume mwenzio kapost humu anatafuta mpenzi/mchumba kwa vigezo vyake...we kinakukera nini?

unakuta lijitu limeng'ang'ana kucomment kumpinga au kumvunja moyo mwenzie

tena anakereka kweli; anacomment hata mara 5, na ukiangalia/ukisoma hiyo post hata haimuhusu!

embu tuache kujiaibisha wanaume! usiwe na muwasho usiokuhusu!

watu wengine wapo serious humu..na sio kama ukiona mtu amepost anatafuta mpenzi/mchumba humu umuone muhuni; ajielewi au amekosa kazi!

jitambue; jiheshimu! usikurupukie visivyo kuhusu!
Duh! Naogopa kuchangia, nami mgeni humu. Lakini ndugu hata jina la mtandao wenyewe si unatuhukumu? Mi nilidhani humu ni kupasuana vichwa au atleast ni yale yenye mantiki saaana?

Nilitaraji hata nikiingia ktk jukwaa la jokes nikutane na jokes za GT sijui zikoje, na la LOVE nalo nikute magreatthinker wanatoa fikra zao za hadimu kabisa, na vivyohivyo ktk majukwaa yoote. Nadhani ndio sababu ya kuruhusu Id fake, sasa ndugu unatafuta mchumba, si hata gazeti au fb na jina kamili, sura, vitambulisho, anwani nk unaviweka na tangazo linakuwa lenye mantiki zaidi?

Wahusika hawatakuzuia, ila we mwenyewe unaweza ukajiongeza. Mkuu, nilishasema nami mgeni humu, labda hata kuongea haya nimekosea, nisamehe bure, hayo yalikuwa ndiyo mawazo yangu kabla ya kujiunga na hawa ma great thinkers. Sori Mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom