MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa.
Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo.
Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo.
NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ?