dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Kauli kama "nipige kama wewe mwanaume kweli"
Mimi mbio kutafuta gunia la mkaa
Mimi mbio kutafuta gunia la mkaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo umekunywa maji ya wapi?Ukiachwa usilazimishe wenzio waachane! Kama unahisi ndoa ni kukurupuka rudi shule upya😅😅😂
kauli kama "nipige kama wewe mwanaume kweli"
mimi mbio kutafuta gunia la mkaa
Uvumilivu ni dhamana nzuri ya mwanadamu ambayo lazima iwepo katika mazingira yote ya wanadamu, ili kukabiliana vizuri na shida ambazo zinaweza kutokea kutafakari na kuchukua msimamo bora.Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa.
Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo.
Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo.
NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??
Sasa wewe ndoa za wengine unazowapa ushauri zinakuhusu?Haikuhusu.
Inatwa makavu live😂😂😂Ukiachwa usilazimishe wenzio waachane! Kama unahisi ndoa ni kukurupuka rudi shule upya😅😅😂
ID yako inaashiria ni mtu mwenye akili ila mbona maandishi yako yanakusaliti?Sasa wewe ndoa za wengine unazowapa ushauri zinakuhusu?
Umeamka na kisununu sana Asubuhi hii, au ndo Mambo ya mwezini?
Mimi namaanisha huu unyama wa hadi wengine kuuana au kupeana vilema vya maisha. Na thread nimeanzisha baada ya mwaka huu kutokea visa vingi vya watu kuuana hapa nchini na nje ya TZ.Usipovumilia basi hata mwezi hukai, sema tu kuna zile abusive behaviour hutakiwi kukaa nazo. Ila uvumilivu ni muhimu, uvumilie kutopewa utamu, uvumilie kununiwa... uvumilie... lakini sio kupigwa kama ng'ombe, mkishindwana peaneni nafasi!
Sasa kama yako haiwahusu wengine, wewe imekuhusuje ya wengine hadi ukatoa ushauri?Haikuhusu.
Mzee wa Kinondoni mbona hujatoa tamko kwa hii ishu ya afisa aliyekamata mzigo wa madawa ya kulevya kukamatwa na kushikiliwa pasipojulikana? Ina maana wazee wa Kinondoni ndo wanarudi kwenye enzi zao upya?Si mwanaume si mwanamke wote wakiwa kwenye ndoa,wanakutana na mabalaa
Ova
Hahaha hahahaMzee wa Kinondoni mbona hujatoa tamko kwa hii ishu ya afisa aliyekamata mzigo wa madawa ya kulevya kukamatwa na kushikiliwa pasipojulikana? Ina maana wazee wa Kinondoni ndo wanarudi kwenye enzi zao upya?