MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Je upo kwenye ndoa? Tupe experience yako?Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo. Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo. NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??
Haikuhusu.Wewe ndoa yako ina miongo mingapi Mkuu?
Sijapost ili nitoe experience hapa. Pumbavu sanaJe upo kwenye ndoa? Tupe experience yako?
Hayo ya ukatili ndo nimeyalenga. Watu wanauana sana siku hizi kwasababu ya ndoa/mapenzi.Ahsante kwa ushauri nadhani yanayowezekana kuvumiliwa yavumiliwe!, ila yasiowezekana kama ukatili nk basi ndoa isiwe jela.
Si mwanaume si mwanamke wote wakiwa kwenye ndoa,wanakutana na mabalaa
Ova
Mpaka pale vijana watakapo elimishwa ndoa sio moja kati ya mafanikio katika maisha au ni sheria au lazima uonekane umeoa au umeolewa vinginevyo unakua kama unakasoro hapo ndipo haya mamboi ya hoyo yatapotea pia eimu ya mahusiano ni ndogo...halafu siku hizi utakuta vijana wemye maisha magumu ndio wan stress za kuoa, na hii lawama mimi mara nyigi na wapa viongozi wa dini na wazazi na jamii ya watu wazee wanafanya watu wanakua na uoga na mambo ya kuvumilia na kuishi kwa kutaka kuingia doani ili uoneakane perfectTuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo. Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo. NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??
Taja visa vitatu ulivyovishuhudia .vya watu kuuwana ...Usilete mada kimihemko hapa ....[emoji35][emoji35][emoji35]Hayo ya ukatili ndo nimeyalenga. Watu wanauana sana siku hizi kwasababu ya ndoa/mapenzi.
Weka picha kwanza tuone kama umeolewa maana isije ikawa ni "waiter"Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo. Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo. NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??
Ukiachwa usilazimishe wenzio waachane! Kama unahisi ndoa ni kukurupuka rudi shule upyaπ π πTuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo. Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo. NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??
Ulipofika kweny kuchomana visu hapo! Huo ni upuuzi hali ikifikia kwenye physical abuse hata kama ndoa ilifungishwa na papa mtakatifu kanisa la Vatican nitaingia mitini tuπ π πWeka picha kwanza tuone kama umeolewa maana isije ikawa ni "waiter"
Kwenye maisha kila hatua inahitaji uvumilivu
Kufanikiwa kunahitaji uvumilivu
Kutoka kwenye majonzi kunahitaji uvumilivu
Kuipata amani ya moyo kunahitaji uvumilivu
Kusubiri teuzi kunahitaji uvumilivu
Ndio maana wanasema HAKIKA WENYE KUSUBIRI WAKO PAMOJA NA MWENYEZIMUNGU
lakini SHETANI yeye hana "subira" yaani SHETANI yeye anataka mambo yake kwa haraka na wepesi nafikiri hicho ndicho ilichokuja kutufunza hapa leo
Na umapokua unanyanyaswa ndani ya ndoa rudi nyuma tafuta "source" ya tatizo na kama utaona itarekebishika basi kua mvumilivu na urekebishe taratibu na kama unaona haitarekebishika basi mke/mume si mzazi mke/mume si mtoto mke/mume si ndugu wa damu na ndio maana WAISLAMU wao wana TALAKA japo hii WAKRISTO haiwahusu maana kwa YESU mke/mume ni mwili mmoja hivo ni wa milele hata akuchome kisu huyo ni wako hakuna kuachana
Pia nikupe ELIMU nyingine ni kwamba ile mnayoita 50/50 MWENYEZIMUNGU haitambui na hiyo ipo kwa SHETANI na kama na wewe mrengo wako ni huo wa 50/50 basi trust me mpaka utaingia kaburini wewe utakua ni wakunyanyasika tu otherwise usiwe na wivu na NYAPU yako yaani uihalalishe kwa kila JOGOO
Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo. Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo. NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??
Ugomvi kwenye ndoa ni kitu Cha kawaida,kama ugomvi huo ni ule wa maneno kwa nia ya kujengana na kukosoana,lakini ugomvi ukiwa wa ngumi,matusi,maneno ya kukera,dharau hapo kimbia,tena kwa wanawake,Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa.
Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu kuvumilia mambo ya kinyama katika ndoa, tafadhali acheni upuuzi huo.
Nanyi wanawake wapumbavu mnaonyanyaswa halafu mnaendelea kuvumilia ujinga kwa sababu mnaamini kuwa ndoa ni uvumilivu, ninaamuru mara moja kuacha ujinga huo.
NDOA NI FURAHA NA AMANI, NA SI VINGINEVYO. UNANIELEWA ??