Tuache mazoea ya kuvumilia kila kitu kwenye ndoa

Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika
Ni kweli, ndoa sio kuvumiliana bali ni kufurahiana, dhana ya kuvumiliana inatokana na makuzi tofauti kati ya wana ndoa au mapungufu ya kibinaadamu lakini sio mistreatment au ukatili wa namna yoyote.
 
Hahaha hahaha
Mzee pm kunakuwaga na mushkeli sana

Nilipata hiyo code,wazee mbona wako kazini
Sana bado tena ukiisha moto ni ule ule
Si ulisikia ile issue ya tegeta+ununio+kino

Ova
HAHAHAA wewe huwa unaongelea kiuhalisia sana. Bro kiukweli sijasikia hiyo issue. Kama hutajali tupia stori ilikuwaje kwenye PM.
 
Ni kweli, ndoa sio kuvumiliana bali ni kufurahiana, dhana ya kuvumiliana inatokana na makuzi tofauti kati ya wana ndoa au mapungufu ya kibinaadamu lakini sio mistreatment au ukatili wa namna yoyote.
Ni kweli. Wiki hii Millard Ayo karipoti mauaji zaidi ya mawili yaliyotokana na mapenzi
 
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…