Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mswahili yule ndiyo anataka hivyo ataanza kuitwa Dr fulani kabla ya mwaka kuishautasikia wamempa phd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mswahili yule ndiyo anataka hivyo ataanza kuitwa Dr fulani kabla ya mwaka kuishautasikia wamempa phd
Kahamka na hangover ya mbege!Umeandika kwa kukosea kosea sana bwashee!
Kwa hiyo ulitaka tuendelee kuteseka na foleni? Mpuuzi kweli wewe
Nani kakuambia amelimaliza?Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi,
Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa?
Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za mwendazake za kutafutia watu ajira zisizo na tija wakaamua kuongeza wilaya ya Ubungo kwa kuimega wilaya ya Ubungo..
Huwezi amini haya maeneo niliyoyataja wananchi wanakunywa maji ya visima na ya chumvi.
Then Kuna jitu linamdanganya mama eti kaupiga mwingi Dar na Pwani hakuna shida ya maji? Aweso ni mchapa kazi ila ni mchongo kama wengine.
Kama ni hivyo kwa nini waseme tatizo limeondoka ikiwa tatizo bado lipo?na sidhani kama kuna kiongozi anaweza kuondoa tatizo lolote kwa [emoji817]
Waziri ndio anasema tatizo limeondokaNani kakuambia amelimaliza?
Tatizo la maji litaondolewa kwa kukamilika mradi huu wa Bwawa la kidunda.[emoji116]
View attachment 2161382
View attachment 2161383
Limepungua au limeondoka?Waziri ndio anasema tatizo limeondoka
Mkuu ila pamekua pazuri [emoji39][emoji39][emoji39]Hamna Rais aliotupotezea muda kama Magafuli, hiyo hela ya flyover ya Ubungo angetusambazia maji Kinondoni yote, tungemuona wa maana kwa kweli, kuliko flyover wakati unaondoa na stendi kuu ya ma Ubungo elio kua inaleta foleni pale kukurupuka ndo uliokuwa mpango mzima wa Magufuli.
ni siasa mkuuKama ni hivyo kwa nini waseme tatizo limeondoka ikiwa tatizo bado lipo?
Wewe ni mjinga mmoja. Wala huioni tofauti kati ya kero ya maji ya wakazi kadhaa wa ubungo.Hamna Rais aliotupotezea muda kama Magafuli, hiyo hela ya flyover ya Ubungo angetusambazia maji Kinondoni yote, tungemuona wa maana kwa kweli, kuliko flyover wakati unaondoa na stendi kuu ya ma Ubungo elio kua inaleta foleni pale kukurupuka ndo uliokuwa mpango mzima wa Magufuli.
Hii korogwe kuna sehemu maji mara ya mwisho tumeona mwezi wa nane mwanzoni mpka leoKorogwe Tanga maji hayajatoka unaenda mwezi wa pili na hata siku ambazo yanatoka hua yanatoka kila baada ya siku nne kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa nne asubuhi.
Nilikua najiuliza kwanini hii sehemu ni potential kwa vitu vingi ila ipo nyuma mno angalau sababu zinajionyesha.
Tatizo akili zao zimejikita kwenye kura za urais tu!Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi,
Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa?
Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za mwendazake za kutafutia watu ajira zisizo na tija wakaamua kuongeza wilaya ya Ubungo kwa kuimega wilaya ya Ubungo..
Huwezi amini haya maeneo niliyoyataja wananchi wanakunywa maji ya visima na ya chumvi.
Then Kuna jitu linamdanganya mama eti kaupiga mwingi Dar na Pwani hakuna shida ya maji? Aweso ni mchapa kazi ila ni mchongo kama wengine.
Ni hovyo sana sasa maajabu yake ni bili ya maji nimeipata juzi inaonyesha nyumba inadaiwa laki tisa. Nikamuambia mwenye nyumba akasema hawa hawapo serious ngoja niwafuate.Hii korogwe kuna sehemu maji mara ya mwisho tumeona mwezi wa nane mwanzoni mpka leo
Kaka titi linawaza kweli?Wewe ni mjinga mmoja. Wala huioni tofauti kati ya kero ya maji ya wakazi kadhaa wa ubungo.
Na tofauti ya flyover inayohudumia watanzania na wasio watanzania.
Foleni ya magari ni tatizo kiuchumi kwa sababu inachelewesha muda pia inakula mafuta mengi kwenye mitambo ya magari na hivyo kuwadumaza kiuchumi wamiliki na watumiaji wake.
Malori yanayohudumia Bandari ya Dar es Salaam kutoka Zambia,Malawi,Rwanda,
Burundi na mikoa yote ya Tanzania yanapitia hapo.
Mabasi yote ya Abiria ya nje na ndani ya nchi ni hiyohiyo barabara.
Halafu wewe mpuuzi mmoja kutoka ubungo unamkejeli Magufuli kwa sababu unawaza kwa kutumia matiti.
Shame on you [emoji53]
King'azi hali ni mbaya yan ka sio dar vile,kuanzia maji hadi barabara ni shida na serikali wala aijaliWatanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi,