Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

Kama huko ndio kuondoa tatizo basi huenda ame-set her targets Too Low.....

Aim at the moon if you Miss you will hit the Stars...
 
Nyie semeni kote huko ila Kigamboni ni nouma, wananchi wake wana degree ya uvumilivu kwa asili yao, achilia mbali kulipia vivuko na daraja kila uchao ila sidhani kama washawahi kuyaona maji ya Dawasco yakitoka - ila jamaa wapo kimyaaa !!
 
Nani kakuambia amelimaliza?

Tatizo la maji litaondolewa kwa kukamilika mradi huu wa Bwawa la kidunda.👇



 
Mkuu ila pamekua pazuri [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Wewe ni mjinga mmoja. Wala huioni tofauti kati ya kero ya maji ya wakazi kadhaa wa ubungo.

Na tofauti ya flyover inayohudumia watanzania na wasio watanzania.

Foleni ya magari ni tatizo kiuchumi kwa sababu inachelewesha muda pia inakula mafuta mengi kwenye mitambo ya magari na hivyo kuwadumaza kiuchumi wamiliki na watumiaji wake.

Malori yanayohudumia Bandari ya Dar es Salaam kutoka Zambia,Malawi,Rwanda,
Burundi na mikoa yote ya Tanzania yanapitia hapo.

Mabasi yote ya Abiria ya nje na ndani ya nchi ni hiyohiyo barabara.

Halafu wewe mpuuzi mmoja kutoka ubungo unamkejeli Magufuli kwa sababu unawaza kwa kutumia matiti.

Shame on you [emoji53]
 
Hii korogwe kuna sehemu maji mara ya mwisho tumeona mwezi wa nane mwanzoni mpka leo
 
Tatizo akili zao zimejikita kwenye kura za urais tu!
 
Hii korogwe kuna sehemu maji mara ya mwisho tumeona mwezi wa nane mwanzoni mpka leo
Ni hovyo sana sasa maajabu yake ni bili ya maji nimeipata juzi inaonyesha nyumba inadaiwa laki tisa. Nikamuambia mwenye nyumba akasema hawa hawapo serious ngoja niwafuate.

As in maji hayajatoka mwezi wa pili sasa ila bili imekuja laki tisa.
 
Kaka titi linawaza kweli?
 
King'azi hali ni mbaya yan ka sio dar vile,kuanzia maji hadi barabara ni shida na serikali wala aijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…