Hawa wateja ni wachache mnoo kwenye portifolio za bank,lakini huwezi kuja na akili timamu ukasema riba za sasa sokoni ni 9% wakati zipo offered kwa kundi ambalo ni less than 1% ya wateja wote-It's a jokeHii ni negotiable, unakaa mezani wanaangalia vigezo, Hakuna Bank utaenda sasa kichwa kichwa watakukopesha kwa asilimia 9%au 10% Tanzania
Hakuna Bank hiyo kwa sasa Tanzania, Hiyo riba ni Personal ya majadiliano sio kwa kila mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee bank gani wanatoa deposit interest rate ya 16% kwa mtu anayeweka chini 100m ? Ukienda kuweka fixed utapewa rate za chini ya 10% per annum ila ukienda kuomba mkopo utaambiwa 18% ? Biashara ya bank bongo ni wizi uliohalalishwa kisheria tu.Haitafanya kazi hilo unaloliongea labda Serikali iamue kufanya biashara
Je Chanzo kikubwa cha pesa za Bank ni kitu gani?
Chanzo kikuu cha pesa Bank ni dhamana za wateja yaani Deposits
Hawa wateja wakubwa hawaweki pesa zao Benki bure wanahitaji riba pia kutoka kwenye pesa zao
Itawezaje Bank kutoa riba kwenye deposits kwa asilimia 11 %mpaka 16% Halafu wao wanunue hati fungani za muda mfupi wapate asilimia chini 7%.Hii Itakuwa biashara kichaa
Policy zipo, Yes lakini ni ngumu kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwana ccm hapa JF, Nimeandika nyuzi zingi sana za kutetea chama changu hapa JF cha CCMInaonekana wewe ni mfanyakazi wa bank hapa Tz, je serikali kushusha hiyo lending rate haiwapi ahueni yoyote kwenu mabank? Inflation Tz imekuwa stable na chini at 3-4% kwa miaka mitano sasa, lending rate government imeshusha mbona hakuna ahueni yoyote sasa? Nchi nyingine zinawezaji commercial banks zao kutoa mikopo kwa 6% na chini ya hapo tena bila longo longo yoyote.
Hakuna uwizi wowote, Kwenye soko huru yaani Free Market ni nguvu ya soko Inaamua, Forces of Demand and SupplyTz mizinguo sana, eti hiyo ni kwa special customers walio na minimum risks ya ku default the likes of Bakhresa na Asas. Serikali inabidi itafute solution ya mikopo iwe kwa riba rafiki, riba za Tz ni wizi mtupu, mtu anapewa mkopo riba 18% halafu non reducing rate, after 5yrs analipa 90% ya mkopo kama riba so kama alichukua 100m, atalipa riba 90m, jumla aliyolipa 190m, huu kama sio wizi ni nini kwa kweli ?
Ngoja tuone-Ingawa naona baadhi wameshashusha mpaka 14%Mzee bank gani wanatoa deposit interest rate ya 16% kwa mtu anayeweka chini 100m ? Ukienda kuweka fixed utapewa rate za chini ya 10% per annum ila ukienda kuomba mkopo utaambiwa 18% ? Biashara ya bank bongo ni wizi uliohalalishwa kisheria tu.
Data za World bank, IMF na BOT zote zinasema inflation rate is stable at 3-4%, mimi na wewe tuna utaalamu gani wa kubishia taasis zote hizo kubwa na makini ? Banks za Tz zinawachukulia wateja wao poaaa sababu ya serikali zetu ni dhaifu na ina mifumo dhaifu. Nitashangaa sana kama matajiri wetu wakubwa kama Mo Dewji na Bakharesa na wenyewe wanakopa hapa hapa kwa riba ya 9% uliyosema wakati wana uwezo wa kwenda kukopa hata 2-6% kwa nchi nyingi zinazojielewa.Mimi ni mwana ccm hapa JF, Nimeandika nyuzi zingi sana za kutetea chama changu hapa JF cha CCM
Sema mzazi alinipeleka shule nzuri kusoma, Alipoteza pesa juu yangu since my early ages. Hata mimi siwezi poteza kwa mtoto wangu kama mzazi alivyochoma pesa kwangu, I say thanks to my Parents
Nayafahamu mambo kwani ninayaishi, Ila kuna wakati Tunaweka akili mfukoni kutetea chama chetu cha ccm na ndio siasa hiyo ambayo nimesema kwenye uzi Tuache siasa tujadili ukweli
Nani kasema Inflation ni Stable?
Wewe binafsi gharama za maisha unaonaje, Bei za vitu unaonaje, Ndio maana nimesema tuacha siasa
Angalia uhalisia wa maisha achana na siasa za Inflation ni stable
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania, 🤣 🤣 🤣 Tanzania kunapikwa data hataree,IMF wenyewe walishaanza ku-smell trouble Tanzania,Unakumbuka MEKO alikuwa anatwambia uchumi ulikuwa unakua kwa kasi?Sasa hivi unamsikia Mama anasema uchumi umeanguka? Jiulize tu-Is it ok exchange rate ya 1US=2340 kuwa hivyo hvyo for years kabla na baada ya corona?Data za World bank, IMF na BOT zote zinasema inflation rate is stable at 3-4%, mimi na wewe tuna utaalamu gani wa kubishia taasis zote hizo kubwa na makini ? Banks za Tz zinawachukulia wateja wao poaaa sababu ya serikali zetu ni dhaifu na ina mifumo dhaifu. Nitashangaa sana kama matajiri wetu wakubwa kama Mo Dewji na Bakharesa na wenyewe wanakopa hapa hapa kwa riba ya 9% uliyosema wakati wana uwezo wa kwenda kukopa hata 2-6% kwa nchi nyingi zinazojielewa.
Yaani hawa jamaa wanapenda over profit tu hawana hoja ya msingiInaonekana wewe ni mfanyakazi wa bank hapa Tz, je serikali kushusha hiyo lending rate haiwapi ahueni yoyote kwenu mabank? Inflation Tz imekuwa stable na chini at 3-4% kwa miaka mitano sasa, lending rate government imeshusha mbona hakuna ahueni yoyote sasa? Nchi nyingine zinawezaji commercial banks zao kutoa mikopo kwa 6% na chini ya hapo tena bila longo longo yoyote.
Riba ni kubwa sana ndio maana mikopo mingi inalipwa kwa tabu sana, biashara haiwezi kuwa nzuri na kushindana na nchi zinazojielewi kwa hizi riba za wizi wizi tu, kwanza serikali iweke sheria mikopo yote iwe na riba at a reducing rate, nilishangaa sana kuambiwa baadhi ya banks wanaweka non reducing rate, yaani Mwalimu amekopa 10m, riba 18%, mwaka wa kwanza kalipa 3M badala ya mwaka unaofuata achajiwe riba kutoka salio la 7m bado wanamtandika riba kutoka kwa 10m, huu kama sio wizi ni nn?Kwa ukubwa wa riba zetu-Ni mwizi pekee anayeweza kuziona ni za kawaida.Ukifanya analysis-Riba zetu ni kubwa East Africa na ndiyo chanzo kikubwa cha kufanya watu wakimbie kulipa mikopo
Binafsi nakuelewa sana.Riba ni kubwa sana ndio maana mikopo mingi inalipwa kwa tabu sana, biashara haiwezi kuwa nzuri na kushindana na nchi zinazojielewi kwa hizi riba za wizi wizi tu, kwanza serikali iweke sheria mikopo yote iwe na riba at a reducing rate, nilishangaa sana kuambiwa baadhi ya banks wanaweka non reducing rate, yaani Mwalimu amekopa 10m, riba 18%, mwaka wa kwanza kalipa 3M badala ya mwaka unaofuata achajiwe riba kutoka salio la 7m bado wanamtandika riba kutoka kwa 10m, huu kama sio wizi ni nn?
Uchumi wa Tz ulikuwa kwa 4.7% mwaka ulioisha wa kibajeti, hii figure ukilinganisha na nchi za Africa Tz ilikuwa ndani ya top 3, ukilingalinisha na nchi za EA tz ilikuwa ya kwanza Ila vilevile ukilinganisha na miaka iliyopita ambapo Tz ilikuwa inakuwa kwa 6-7% hiyo figure ni chini, hivyo Rais alichomaanisha apambane na madhara ya Corona turudi kwenye 6-7% , hakuna aliyedanganya ila binadamu tunatafsiri tofauti tu takwimu.Mtanzania, 🤣 🤣 🤣 Tanzania kunapikwa data hataree,IMF wenyewe walishaanza ku-smell trouble Tanzania,Unakumbuka MEKO alikuwa anatwambia uchumi ulikuwa unakua kwa kasi?Sasa hivi unamsikia Mama anasema uchumi umeanguka? Jiulize tu-Is it ok exchange rate ya 1US=2340 kuwa hivyo hvyo for years kabla na baada ya corona?
Tanzania wametoa Report inayoonyesha uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 4.7%Uchumi wa Tz ulikuwa kwa 4.7% mwaka ulioisha wa kibajeti, hii figure ukilinganisha na nchi za Africa Tz ilikuwa ndani ya top 3, ukilingalinisha na nchi za EA tz ilikuwa ya kwanza Ila vilevile ukilinganisha na miaka iliyopita ambapo Tz ilikuwa inakuwa kwa 6-7% hiyo figure ni chini, hivyo Rais alichomaanisha apambane na madhara ya Corona turudi kwenye 6-7% , hakuna aliyedanganya ila binadamu tunatafsiri tofauti tu takwimu.
Principles za Analysis and presentation ya Takwimu za kiuchumi ni zile zile ambazo zinatumika kote duniani,based on principles of official statistics-UNUchumi wa Tz ulikuwa kwa 4.7% mwaka ulioisha wa kibajeti, hii figure ukilinganisha na nchi za Africa Tz ilikuwa ndani ya top 3, ukilingalinisha na nchi za EA tz ilikuwa ya kwanza Ila vilevile ukilinganisha na miaka iliyopita ambapo Tz ilikuwa inakuwa kwa 6-7% hiyo figure ni chini, hivyo Rais alichomaanisha apambane na madhara ya Corona turudi kwenye 6-7% , hakuna aliyedanganya ila binadamu tunatafsiri tofauti tu takwimu.
Uchumi upi wa Afrika au ulaya?Principles za Analysis and presentation ya Takwimu za kiuchumi ni zile zile ambazo zinatumika kote duniani,based on principles of official statistics-UN
World wide.
Sina uzoefu wa nadharia za uchumi wa siasa ( Political economy), IMF na WB ni mashirika ya kijasusi, Yakiamua nchi yako kuiporomosha kiuchumi huwa wanafanya hivyo, Kuna nchi kadhaa wamezifanyia umafia kwa Propaganda za uchumi mara hazikopesheki,World wide.
Mkuu mbona unayumbayumba sana 🤣 🤣 🤣 -Locus stand yako ikwapi kama msomi? wewe mwenyewe kwenye post za nyuma unaamini serikali inapika data (rejea post yako #24),alafu hapa unawapinga IMF wanaposema takwimu zinazotolewa na serikali siyo reliable-Sasa tukuamini kwa lipi? Halafu kuna mahali nimesema principles of offical statistics zimetolewa na IMF?Sina uzoefu wa nadharia za uchumi wa siasa ( Political economy), IMF na WB ni mashirika ya kijasusi, Yakiamua nchi yako kuiporomosha kiuchumi huwa wanafanya hivyo, Kuna nchi kadhaa wamezifanyia umafia kwa Propaganda za uchumi mara hazikopesheki,
Hata kipindi fulani enzi za JPM walishaanza kuwa na mgogoro na Gov kuhusu ukuaji wa uchumi
Kiuhalisia sekta ya Fedha hapa Tanzania bado inakua, Haijafikia maturity kama Kenya
Ripoti za IMF na WB na indicator zao na vigezo vyao tuwaachie wenyewe, Let's build our own Financial culture system
Moja ya kigezo hovyo cha WB na IMF ni hiki cha kuchukua Total income/Population=Per capital income
Kigezo cha GDP ndio kina mashaka zaidi na kuna ubishani mwingi sana
Kuna nchi wana maisha bora sana na Per capital income WB na IMF wanasema ni ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Data zilipikwa sana wakati ule, Na sisi ndio tuliokuwa tunaeneza Propaganda Uchumi unakua na Ajira kedekede huku tukifahamu mambo magumu, Tulifahamu vijana wana hali mbaya na elimu wanayopewa haipo OK kupambana na mazingira ya teknolojiaMkuu mbona unayumbayumba sana [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] -Locus stand yako ikwapi kama msomi? wewe mwenyewe kwenye post za nyuma unaamini serikali inapika data (rejea post yako #24),alafu hapa unawapinga IMF wanaposema takwimu zinazotolewa na serikali siyo reliable-Sasa tukuamini kwa lipi? Halafu kuna mahali nimesema principles of offical statistics zimetolewa na IMF?