Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
💯 👍Hili likataliwe.
A akatakiwa kwa ukikwete na usamia wakeNi makosa makubwa kukataa kinachoendelea kwa sababu Samia ni Mzanzibari. Ukikubali hili unataka kusema kama kingefannywa na "Mmatumbi" mwenzetu basi kisingepingwa. Ni ufyatu kusema kuwa haya yote yangefanywa na mgombea wa CCM toka Bara basi watu wasingelalamika na kuasi mioyoni.
Yaani, itokee tufike kwa kukunjana mashati hadi 2030 basi tukiwa na mgombea wa CCM toka bara basi na akafanya haya tena watu waseme huyu ni "mbara"!
Kinachopingwa na kukataliwa ni CCM na makuwadi wake. Hakihusishi ndugu zetu Wazanzibari na tuwakatalie wale wote wanaotaka kuangalia hili kwa minajili ya Ubara na Uzanzibari. Tusiruhusu wazanzibari walioko bara walengwe ati kwa vile wanatoka sehemu moja na Samia..huu ni ufyatu!!
Samia na wale wanaomwezesha wakatiliwe kwa sababu ya sera, mipango na uongozi wa hasa kwa makosa makubwa manne waliyoyafanya na wanayoendelea kuyafanya hadi sasa. Maana ukishaangalia hili kwa Ubara na Uzanzibari utajikuta unauangalia kwa udini. Hili likataliwe.
MMM
..usififishe hoja zenye mashiko bwn! matendo yao wazanzibar ndio yanajenga dhana ya kulaumiwa kwa haya yanafanyika..kwa sasa sote tunafahamiana tabia zetu na kwa kweli imani zetu na style za maisha tunakotoka zinauumba vile tunawaona watu wengine! wazanzibar wana chuki za chini chini kwa watu wa bara, tnafika zanzibar tunawajua walivyo! kwa nini samia ateue watu wa zanzibar hawa kina salum haji, awadhi, kombo na uwepo wao uambatane na haya matukio ya mauaji..? utaelezeaje sababu za uwepo wa matukio km haya this time bila kuhusisha uwepo wa wazanzibar kwenye nafasi zina mahusiano ya kutoa amri inayosababisha matukio haya?Ni makosa makubwa kukataa kinachoendelea kwa sababu Samia ni Mzanzibari. Ukikubali hili unataka kusema kama kingefannywa na "Mmatumbi" mwenzetu basi kisingepingwa. Ni ufyatu kusema kuwa haya yote yangefanywa na mgombea wa CCM toka Bara basi watu wasingelalamika na kuasi mioyoni.
Yaani, itokee tufike kwa kukunjana mashati hadi 2030 basi tukiwa na mgombea wa CCM toka bara basi na akafanya haya tena watu waseme huyu ni "mbara"!
Kinachopingwa na kukataliwa ni CCM na makuwadi wake. Hakihusishi ndugu zetu Wazanzibari na tuwakatalie wale wote wanaotaka kuangalia hili kwa minajili ya Ubara na Uzanzibari. Tusiruhusu wazanzibari walioko bara walengwe ati kwa vile wanatoka sehemu moja na Samia..huu ni ufyatu!!
Samia na wale wanaomwezesha wakatiliwe kwa sababu ya sera, mipango na uongozi wa hasa kwa makosa makubwa manne waliyoyafanya na wanayoendelea kuyafanya hadi sasa. Maana ukishaangalia hili kwa Ubara na Uzanzibari utajikuta unauangalia kwa udini. Hili likataliwe.
MMM
Polisi wetu ni watu wa hovyo sana. Unawauwa wenzako kwa sababu ya posho?
Naunga mkono hojaSamia na wale wanaomwezesha wakatiliwe kwa sababu ya sera, mipango na uongozi wa hasa kwa makosa makubwa manne waliyoyafanya na wanayoendelea kuyafanya hadi sasa. Maana ukishaangalia hili kwa Ubara na Uzanzibari utajikuta unauangalia kwa udini. Hili likataliwe.
MMM
Uko sahihi kabisa. Kwanza wengi ya walio mitaani wakiteka, kutesa na kuua ni wabara. Bila hawa watekelezaji, Samia hana uwezo wa kufanya hivyo.Ni makosa makubwa kukataa kinachoendelea kwa sababu Samia ni Mzanzibari. Ukikubali hili unataka kusema kama kingefannywa na "Mmatumbi" mwenzetu basi kisingepingwa. Ni ufyatu kusema kuwa haya yote yangefanywa na mgombea wa CCM toka Bara basi watu wasingelalamika na kuasi mioyoni.
Yaani, itokee tufike kwa kukunjana mashati hadi 2030 basi tukiwa na mgombea wa CCM toka bara basi na akafanya haya tena watu waseme huyu ni "mbara"!
Kinachopingwa na kukataliwa ni CCM na makuwadi wake. Hakihusishi ndugu zetu Wazanzibari na tuwakatalie wale wote wanaotaka kuangalia hili kwa minajili ya Ubara na Uzanzibari. Tusiruhusu wazanzibari walioko bara walengwe ati kwa vile wanatoka sehemu moja na Samia..huu ni ufyatu!!
Samia na wale wanaomwezesha wakatiliwe kwa sababu ya sera, mipango na uongozi wa hasa kwa makosa makubwa manne waliyoyafanya na wanayoendelea kuyafanya hadi sasa. Maana ukishaangalia hili kwa Ubara na Uzanzibari utajikuta unauangalia kwa udini. Hili likataliwe.
MMM
Aisee ntawakumbusha..laptop yangu haina waya wake naingia kwa cm tu..I've ordered new one..ikija yu ntaposti kwa kirefuNaunga mkono hoja
Naomba tukumbushe hayo makosa manne
P
ThanksAisee ntawakumbusha..laptop yangu haina waya wake naingia kwa cm tu..I've ordered new one..ikija yu ntaposti kwa kirefu
Dah, nimestuka vijana wasivyo ogopa.
Mawazo ya kizee hayo, kizazi kipya hakitambia masuala ya kuabudu project za Nyerere ambazo hazi make sense..... Your time is freaking gone... Muungano utaanguka tuuuNi makosa makubwa kukataa kinachoendelea kwa sababu Samia ni Mzanzibari. Ukikubali hili unataka kusema kama kingefannywa na "Mmatumbi" mwenzetu basi kisingepingwa. Ni ufyatu kusema kuwa haya yote yangefanywa na mgombea wa CCM toka Bara basi watu wasingelalamika na kuasi mioyoni.