Unajua ukishakuwa kibaraka wa mtu you will never think independently...Lazima utageuka kuwa cartoon tuu...Alichokiharibu JPM kwa hawa ndugu ni kikubwa mno japo hawasemi wazi...Mungu anawapenda sana watanzania, pengine itawachukua miaka kadhaa kurejesha ile mipango yao miovu....Mungu si athumani...Time will speak by itself...Kuna watu hata makaburi yao pengine hayatakumbukwa location yake kwa laana walizojiletea kwakutaka kuiharibu future ya nchi yetu na watu wasio na hatia...God is sovereign, mighty and just...Hata mki play victim vipi mtakula nyama zenu wenyewe na kunywa damu zenu haramu huku watanzania wakipita salama kwenye hizi changamoto mlizotusababishia.Ni kweli chama tawala kimechakaa, lakini upinzani wetu unakosa umakini sana, hasa linapokuja suala la ajenda wanayojipamvabua nayo.
Mfano nimesikia juzi kiongozi anajadili jambo la Rais kutokupiga picha na Rais wa US, sijui waziri alirangulua takriban mwezi kabla ya mkutano wa UNGA. Kweli hayo ndio mambo ya kujadiliwa na kiongozi wa juu wa chama?
Kuna haja ya kujitafakari na kujipanga upya.