Watanzania hawana furaha ingawa hatuko vitani. Watanzania kwanza hawana amani ila wanaimani kwamba haya nayo yataisha siku fulani. Watanzania hawako huru katika nchi yao. Hawako huru kusema wanayotaka bila kuhofu kukamatwa. Waandishi wa habari na raia kwa ujumla hawako huru. Mtu aliyebanwa hana furaha.
Watanzania wanahitaji UHURU, HAKI, NA MAENDELEO. Wakivipata hivi watakuwa na furaha.