Uchaguzi 2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

Uchaguzi 2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

Na sisi hatuangalii sura tutamchagua Maalim kwa kishindo pamoja na TAML
Watanzania hawana furaha ingawa hatuko vitani. Watanzania kwanza hawana amani ila wanaimani kwamba haya nayo yataisha siku fulani. Watanzania hawako huru katika nchi yao. Hawako huru kusema wanayotaka bila kuhofu kukamatwa. Waandishi wa habari na raia kwa ujumla hawako huru. Mtu aliyebanwa hana furaha.
Watanzania wanahitaji UHURU, HAKI, NA MAENDELEO. Wakivipata hivi watakuwa na furaha.
 
Lipumba ndio nani? Huu uzi ukipata reply hata 50 nakunya humu
 
Back
Top Bottom