Tuache unafiki, kumuacha umpendae sio rahisi hivyo

Ww muoga tu wa maisha,jifunze kuuviacha na kuweka furah yako kwa mtu Fulani what if one day she/he die

Mimi nilishamuacha mke na sio demu au mpenz nika move on

And I am happy in my new married
 
Ni akili yako imeshajijengea ivo lakn ukiamua kabsa kufanya maamuzi kupiga chini basi vumilia maumivu ya kama wiki AF utamsahau , kinachoshinda wengi ni kushindwa kukubali na hali halisi
 
Inauma kama unakuwa na access ya kumuona mara kwa mara ila kama humuoni na huna mawasiliano nae na una mtu wa pembeni wa kukukeep busy unamsahau tu chapu
 
Me kuna wakwang tuliachan wiki 2 zilizopit kiukweli nimekaza tu fuvu Ila nampenda sana tu huw simtafut kabisa mpak yeye anitafute Ila huw namjib short sana juzi kaniambia amemiss utani wang lkn mara ya mwisho aliniambia anajamaa yake mpya na wanapendana ki ukweli bado nampend je nifanyaje wakulungwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mmiss kwanza mengine yatafuata...[emoji6][emoji854]
 
Napata shida kweli najikaza tu nilipitia zile makala za kumfanya x arud ss cjui zinatumika kwa mda gan maana nataman nikajishushe Ila naogop maana najua atanites akijua nampend kias icho
 
Kama hupotezi kitu...jiondoe ufahamu...jitose...upate majibu yaliyokamilika...ufunge ukurasa.
Ila mda ndio tiba ya maumivu yako.
 
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.

Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane.

Hao wanaokushauri hivyo nyumba zao zinawaka moto hawaachani wapo tu ,tupeane ushauri wa kujenga na kudumisha mahusiano badala ya kudanganyana.
endelea kuvumilia mkuu, pole pia
 
Me kuna wakwang tuliachan wiki 2 zilizopit kiukweli nimekaza tu fuvu Ila nampenda sana tu huw simtafut kabisa mpak yeye anitafute Ila huw namjib short sana juzi kaniambia amemiss utani wang lkn mara ya mwisho aliniambia anajamaa yake mpya na wanapendana ki ukweli bado nampend je nifanyaje wakulungwa?
Kaka we sikia tu kumuachia mtu unayempenda,wakulungwa watakwambia mblock kwenye simu
 
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.

Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane.

Hao wanaokushauri hivyo nyumba zao zinawaka moto hawaachani wapo tu ,tupeane ushauri wa kujenga na kudumisha mahusiano badala ya kudanganyana.

Umenena Mkuu...

Kuna mtu anakwambia et we muache atarud wanawake hawana ujanja kwa kua anadate na wakuu za anajua wanawake wote sawa pumbav...
Usione mtu anamlilia mwanamke ukamcheka kuna wanawake wana atract ata kama sura mbaya wana mvuto wa ndan wanaheshima wanamawazo wana mapenzi yan unaanzaje kuacha aende mwanamke ka uyo [emoji22]
 
Hayajawakuta tu ndugu yangu
 
Back
Top Bottom