Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Andikia uzi hiiMe kuna wakwang tuliachan wiki 2 zilizopit kiukweli nimekaza tu fuvu Ila nampenda sana tu huw simtafut kabisa mpak yeye anitafute Ila huw namjib short sana juzi kaniambia amemiss utani wang lkn mara ya mwisho aliniambia anajamaa yake mpya na wanapendana ki ukweli bado nampend je nifanyaje wakulungwa?