Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Yaan mpaka February, Prof atakua anapata shida sana nani aanze, nani abaki.
Djigui /Abuu
Bryson/ Kibwana/Djuma/ Athuman, hku Farid/Moloko /Saido/Yacouba, Aucho/Sureboy, Fiston/Makambo

Moto unaingia moto.

Yanga utamu kunoga (mpenja voice)
 
Yaan mpaka February, Prof atakua anapata shida sana nani aanze, nani abaki.
Djigui /Abuu
Bryson/ Kibwana/Djuma/ Athuman, hku Farid/Moloko /Saido/Yacouba, Aucho/Sureboy, Fiston/Makambo

Moto unaingia moto.

Yanga utamu kunoga (mpenja voice)
Kabisa mkuu.....mfano... mwanzoni nilikuwa naona ntibazonkiza ....Kama hana madhara ...ila saiz ni Moto sana
 
Wafungaji[emoji116][emoji116][emoji116]
 
😅😅😅😅 60% tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣we ni mmoja ya wanasimba naowakubali humu
 
Kipimo ni Dodoma jiji? Watanzania tunaelekea kuwa vichaa wote. Tena 2022 haitatuacha tukiwa salama.
 
Yanga inakupa sex football zaidi ya sanchoka akiwa kitandani
nb mimi ni simba damu
 
Kwakweli Yanga wakikutana na Dodoma jiji inakua timu nzuri Sana zaidi ya Barcelona.
tukiwakutanisha tu na Namungo wanakua wabovu zaidi ya timu za Umitashumta.

Ni Dodoma jiji walicheza chini ya kiwango au ni Yanga wako vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…